Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hii ofa naona km Raia ,mmeikataa hivi
MTC | 101| [emoji769]
MTC | 101| [emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona anaitwa zero najua hawezi kuelewa kwamba yeye ni zero.Duh.
Hivi inawezekana eeh. Kushusha bei ya vinywaji!
Hii hatari sana kama kiongozi ndio anasema hivi. Ni matumaini yangu hajasema huu upuuzi yeye.
Haya matamko mengine inabidi mtu afikirie vizuri.
Hivyo vinywaji ni vyake?
Kama siyo vyake anawezaje kupangia wafanya biashara bei bila utataratibu? Au ataamuru buge lipunguze bei.
Anaweza sema kuwa atalipia hilo ongezeko, je anajua ni kiasi gani cha vinywaji kitatumika?
Aache hayo matamko ya kishabiki
OK,tufanye Stars wameshinda,na ikitokea Lesotho wameshinda ?Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app