RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Duh.
Hivi inawezekana eeh. Kushusha bei ya vinywaji!
Hii hatari sana kama kiongozi ndio anasema hivi. Ni matumaini yangu hajasema huu upuuzi yeye.
Ukiona anaitwa zero najua hawezi kuelewa kwamba yeye ni zero.
 
Huyu ni rafiki wa Bashite mwenyekiti wa Kamati ambaye kutokana na ushawishi wa mwenyekiti akaingizwa kwenye kamati.
Hapa alikifatilia michezo taifa kwa umakini sana.
Lazima mawazo yake yataleta tija kwa Stars

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndugu elewa jambo hapa moja ya Wadhamini wakubwa wa Taifa Stars na Ligi ya Wanawake ni Serengeti Breweries Limited hivyo kusema Watashusha Bei za Bia za Serengeti ni njia ya kutangaza, kuuza bidhaa zao angalau kurudisha kile walichowekeza.
 
Aoenyeshe formula kwanza ,mimi kwa maoni yangu nahisi itakuwa furugu na sintofahamu.
Je waziri wa fedha kaenda likizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…