Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nawaza vinywaji kushuka Bei kwa amri ya makonda. Nataka kuona itatumika njia gani. Ila jamaa anajua kabisa taifa stars inafungwa😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaza vinywaji kushuka Bei kwa amri ya makonda. Nataka kuona itatumika njia gani. Ila jamaa anajua kabisa taifa stars inafungwa😂😂
Nimesema sana kuwa kumuweka Makonda kwenye mambo ya kuhusu nchi ni kuitia unajisi nchi na kuleta balaa lisilozuilika.
Hili tangazo lake kuwa Stars wakishinda eti pombe itauzwa kwa nusu bei kwa masaa sita haliina mashiko kabisa na halifai kwani huwezi kuwashirikisha watu waiombee Taifa Stars kwa Mungu kupata ushindi kasha ili munywe pombe sana kwa vile inauzwa nusu bei.
Hakika kama kuna jambo tutajutia ni kumpa jukumu kama ti hiyo Makonda! Makonda ni balaa la uhakika kwa Stars na kuna kila dalili tukachezea kichapo nyumbani.
Natamani stars Ifuzu Afcon japo hayo mengine.................Ambao walipaswa wapewe hiyo kazi wapo pembeni mfano Ali Mayay, Lunyamila, Pawasa , Matola n.k
Unamuweka sijui wema, mara shilole sisi akili zetu sijui wapi zinakwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana hayo mamlaka, sijui wanasubiri hili jipu liweje ndo litumbuliwe!ni naibu rais,
"Watch out, not to that extent"
Nakubaliana na wewe...Ambao walipaswa wapewe hiyo kazi wapo pembeni mfano Ali Mayay, Lunyamila, Pawasa , Matola n.k
Unamuweka sijui wema, mara shilole sisi akili zetu sijui wapi zinakwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ni yeye amesema..kuna video clip kabisa akiyatamka hayo.Duh.
Hivi inawezekana eeh. Kushusha bei ya vinywaji!
Hii hatari sana kama kiongozi ndio anasema hivi. Ni matumaini yangu hajasema huu upuuzi yeye.
Wewe nitakununulia mimi hata kama hazijashushwa kwanza tunaongelea vinywaji vya msingi mkuuna soda?
Haijawahi kutokea kuanzia lini?!Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
cc: wakudadavuaJuliana Shonza yupo busy JF anahangaika kutunga propaganda za maji taka wakati huo Bashite anamfanyie wajibu wake.
Hivi ni hadi Kempinski, white sands etc au ni vipi?Kama yeye ndie mmiliki wa bar zote hapa dar
Hivi dar siyo mkoa?!Hii ni maalumu kwa wanaume wa Dar es Salaam, wavulana wa mikoani mtaendelea kunywa vinywaji vyenu kwa bei ya kawaida. Hii ndiyo tofauti ya DAR na mikoani.
Sasa si mtalewa mtwangane chupabia zingeuzwa buku-buku hapo uwanjani, kama vipi walete hata ule mzigo wa bia unaokaribia ku-expire.
hakuna kupewa chupa, bia za kopo tu.Sasa si mtalewa mtwangane chupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Shati jeupe nyuma ya Manara ni nani?!Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichaa wa kolomije kawa wa chatoHuyu mkuu wa mkoa kweli ni Naibu Rais kila sehemu yupo naona sasa hivi kawaovertake Shonza na Mwakyembe.