RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Nangoja kusikia kuwa Wasanii wa kike wa bongo movie wakiongozwa na Mawe watatoa Burudani kwa wachezaji wetu kwa siku mbili mfululizo popote watakapo amua kujivinjari kuanzia usiku wa Mechi. Ogopa mzee wa mipango Bashite!
mimi nasimama na Uganda.
 
Sema Tukiacha ushabiki tukiwa tu Wasema ukweli MAKONDA NI KIONGOZI yani kama ni mchezaji ni Beki anaepanda na kushuka Hakai sehemu moja kimajukumu..Ana PLAY kote kote Huyu mtu hata Tumchukie TUPASUKE ila anajitahidi sana BWANA.

ILA HAPO KWENYE VINYWAJI MKUU sina uhakika..labda kama utanambia una HISA NGAPI kwa MOO,BONITE,TBL nk hv hv na ushabiki SIDHANI we tupambe tuuu Japo kama naiona DROOO hv maana hizi promo hizi
 
Mkuu tukiacha ushabiki tena, nitajie hata mambo mawili tualiyofanikiwa kama kiongozi, yanayofanya ummiminie misifa kedekede kama Ng'olo Kante!

***Mbire mwene Nyamwonyo***
 
Mkuu tukiacha ushabiki tena, nitajie hata mambo mawili tualiyofanikiwa kama kiongozi, yanayofanya ummiminie misifa kedekede kama Ng'olo Kante!

***Mbire mwene Nyamwonyo***

Tukiacha utani mkuu...we unaishi BUKOBA huwezi ona ya huku DAR
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.

Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe

View attachment 1050521

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya wazi kama ya bei za bidhaa za viwandani hayahitaji mijadala. Common sense inakataa.
Nani atakayelipia gharama zitakazotokana na uamuzi huo? It ia a question of revenue and expenditure.
 
Mie nitakunywa supu ya kongoro kwa kweli, hasa lile la kwatokwato linanipaga raha sana.
 
Back
Top Bottom