drgeorgemayalla
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 174
- 171
Ila sijui viongozi wanatuonaje haki ya munguHii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Kila siku Shari inaongezeka. TAFRANI TUPU!!!!!!Hata mimi nimeshangaa sana, wachimbe makaburi, wanunue majeneza, wanunue PPE, wakodi na Ambulance kwa ajili ya kwenda kufanya "shooting", Duu!
Kama hali ni shwari basi fungueni shule na vyuo tumechoka kucheza na watoto majumbani: akili za kwambiwa changanya na za kwako.Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo.
Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
Kama waliandaa magari mabovu na petroli ili wayalipue baada ya uchaguzi 2015 wakiwa na lengo la kutaka kuiaminisha Tanzania pamechafuka kutokana na mauaji ya watu wengi kwa kutumia hiyo milipuko ya hayo magari ndani ya kariakoo hivi unadhani watashindwa kununua majeneza? Achani kushabikia wapinzani, wana ajenda ngumu sana sema wengi mnashabikia kitu msichokijua, na mshukuru umahili na uzalendo wa vyombo vyetu vya ulinzi, lasivyo nchi hii leo tungekuwa pabaya.Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Unashangaa ninj kama kuna wabunge wamedanganya wako karantini Dodoma kumbe uongo wako wanazunguka DarHii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Msikilize vizuri tu utamwelewa tu!
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo.
Vile vile amesema alifanya uchunguzi na kugundua watu wenye nia ovu mtandaoni walinunua majeneza na kwenda kwenye maeneo ya makaburini na kuchimba chimba na kujifanya wanazika ili kuleta taharuki.
πππππ
Chadema wanaweza hayo,si wanachota tu ruzuku ili kuzua taharuki?Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Kama Mungu aishivyo hawa watu watadhalilika Sana. Ni suala la muda tuu.Ushetani wazidi kujianika. Hadithi zilezile kwa mtindo ule ule kama za wapima mapapai na mafenesi.
Kama Baba kama Mtoto. Mungu mwenye haki ndie pekee atatutoa kwenye mikono hii ya UDHALIMU
Miaka 5 imeisha hamna mlichofanya bado chadema haiwatoki midomoni. Mtashangaa miaka 5 tena imeisha bado mnalia na chadema wakati upinzani ni wa nccr. Mjue adui yako ndugu...Chadema wanaweza hayo,si wanachota tu ruzuku ili kuzua taharuki?