RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Hata mimi nimeshangaa sana, wachimbe makaburi, wanunue majeneza, wanunue PPE, wakodi na Ambulance kwa ajili ya kwenda kufanya "shooting", Duu!
Labda ni kundi mojawapo la Bongo Movie. Ngoja tusubiri Movie yao itakapotoka.
 
Kuandamana tu watu wanatishiwa vifo, leo nani mwenye ujasiri wa kununua majeneza na kufanya mazishi ya uongo. Huyu mtu anajitekenya na kucheka mwenyewe, hakuna mjinga aliyempata hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye nia ovu sijui haya magari waliyatoa wapi?
 

Attachments

  • IMG_20200514_164650.jpg
    115.6 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…