RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Yeye kama mkuu wa mkoa hao watu wenye nia ovu alipowaona wakifanya hayo maigizo yao aliwachukulia hatua gani stahiki!?

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Tuwamulike wanaotumika na Mabeberu hawashindwi kufanya hivyo

Mabeberu pale tu wakiwa wanawaunga mkono Wapinzani / Wanaharakati ila nyie mkiwa mnawaomba Pesa wanakuwa Malaika?
 
kikosi cha SEAL TEAM 6 wafanye kumchukua mtu wao
 
U ni moja ya mfano wa mwehu ..walimu msisite kuutumia mashuleni mkifungua

Dark Side
 
Waja UJINGA wewe HAKUNA Mtu anaweza kununua Majeneza
 
Kwan mnashindwa?
Hizi ni akili za CCM toka kitambo rejeaiile ya subwoofer ndogo pale mbey walivyoigiza kwamba wanaenda kuzika chadema mbeya mjini so hatahizi nazo hamshindwi kufanya manake mzoea hujengatabia mmstukiwa
 
Duh
 
Ushetani wazidi kujianika. Hadithi zilezile kwa mtindo ule ule kama za wapima mapapai na mafenesi.

Kama Baba kama Mtoto. Mungu mwenye haki ndie pekee atatutoa kwenye mikono hii ya UDHALIMU
pengne hukutegemea kama utajibiwa. usipende kutumia kauli kali kama hizi, je saikolojia yako haipo xawa? usiseme hivyo tena. natumai umeelewa
 
Hahahahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀 napita ya kwa kasi ya SGR kabisa.
 
Hivi nae yupo katika list ya viongozi wanaoruhusiwa kutoa taarifa za corona?
 
Yani mtu anunue jeneza aende kaburini intelejensia ya kanda maalum isimkamate!
Naona kama intelejensia wa Dar wapo active kuchunga hilo lichama linalomsumbua ndongai tu.Haya mengine yaende
 
Dah sijui viongozi wanatuchukuliaje sisi raia......
 
pengne hukutegemea kama utajibiwa. usipende kutumia kauli kali kama hizi, je saikolojia yako haipo xawa? usiseme hivyo tena. natumai umeelewa
POLE SANA,
Labda wewe ndio fanya hima ukachunguzwe saikolojia yako. Mie sina wasiwasi. Amen.
 
Yote heri tu,,

Nashukuru hawatopata MBAWA ikiwa wamechagua kuwa CHUI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…