Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwamulike wanaotumika na Mabeberu hawashindwi kufanya hivyo
Hizi ni akili za CCM toka kitambo rejeaiile ya subwoofer ndogo pale mbey walivyoigiza kwamba wanaenda kuzika chadema mbeya mjini so hatahizi nazo hamshindwi kufanya manake mzoea hujengatabia mmstukiwaKwan mnashindwa?
DuhHizi ni akili za CCM toka kitambo rejeaiile ya subwoofer ndogo pale mbey walivyoigiza kwamba wanaenda kuzika chadema mbeya mjini so hatahizi nazo hamshindwi kufanya manake mzoea hujengatabia mmstukiwa
pengne hukutegemea kama utajibiwa. usipende kutumia kauli kali kama hizi, je saikolojia yako haipo xawa? usiseme hivyo tena. natumai umeelewaUshetani wazidi kujianika. Hadithi zilezile kwa mtindo ule ule kama za wapima mapapai na mafenesi.
Kama Baba kama Mtoto. Mungu mwenye haki ndie pekee atatutoa kwenye mikono hii ya UDHALIMU
Naona kama intelejensia wa Dar wapo active kuchunga hilo lichama linalomsumbua ndongai tu.Haya mengine yaendeYani mtu anunue jeneza aende kaburini intelejensia ya kanda maalum isimkamate!
POLE SANA,pengne hukutegemea kama utajibiwa. usipende kutumia kauli kali kama hizi, je saikolojia yako haipo xawa? usiseme hivyo tena. natumai umeelewa