Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Huwajui Chadema wewe?
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Paul Makonda amenena yake kuhusu hali ya Corona mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari amesema hali sasa inaelekea kuwa shwari, idadi ya wagonjwa inazidi kupungua na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo
Kwani kigumu kipi kwa mtu anaetaka kuifanya serikali ionekane haifai?Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Waliofanya hivyo wamechukuliwa hatua gani?Kwani kigumu kipi kwa mtu anaetaka kuifanya serikali ionekane haifai?
Hao waliofanya hivyo wamechukuliwa hatua gani?Huwajui Chadema Wewe ?
Unamuuliza nani?Waliofanya hivyo wamechukuliwa hatua gani?
Wewe uliyekubaliana na huo usanii wa RCUnamuuliza nani?
Si yafukuliwe?Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?
Wamekuwa waongo hadi wanapitiliza
Anawajuaje wakati wanadhaminiwa na KigogoBaada ya kuwagundua amewachukulia hatua gani hao waliofanya hivyo?
Tena usawa huu ulivyo mgumu pesa hakuna mtu akanunue majeneza na kulipa watu wa kichimba makaburi kadhaa ili kuleta taharuki 🤣🤣🤣Hii nchi ngumu sana. Kweli watu wanunue majeneza kabisa kwa ajili ya kuigiza kuzika?