RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

Wakuu Laptop yangu imemwagikiwa maji kwenye keybord, hivyo haidisplay chochote kwenye screen.

Fundi anasema motherboard ndio imepata electric short.

Je, Inaweza Kupona Kweli Wakuu ?
Mkuu, kwenye uzi wa makonda.

I'll be back
 
Hali ni ngumu,zinapatikana wapi nguvu za kuchimba makaburi na kununua majeneza??

Anaweza tuthibitishia wapi kuna jeneza hewa tukafukue hayo makaburi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1589385422056.png

Wamesema
Rais Magufuli ametangaza kuwa corona is a devil ambayo haiwezi ingia kanisani, kwa hiyo ibada zitaendelea tu
 
Huku Gwajima, kule Bashite. Watu wanapukutika bado anaaminisha wat kuna ununuzi wa majeneza

Nni tusi kubwa kwa maelfu ya wafiwa! wanaomboleza, misiba kila kona bado kuna dhihaka kama hii

Kwamba, kuna watu wananunua majeneza kueneza uvumi. Tanzania tumefikaje hapa?

Kila siku kuna kitu cha kushangaza dunia, siku hizi ukisoma Media za duniani ni mabaya ya Tanzania

Inafika mahali tunaona aibu hata kujiita Watanzania.

Huyu bwana alisema ni mafua na kuna watu wanatia hofu watu watoke kuchapa kazi.
Leo watu wanapukutika anasema nini tena? Watanzania kuna misiba huko mitaani , ni kuzika tu

Majirani wanatufungia mipaka, sisi bado tunaendekeza uzezeta tu.

KM Bushiru alisema neno kuhusu huyu bwana siku ya mazishi ya Mengi kule Moshi.

Tumechoka na aibu kama Taifa! Tafadhalini kaeni kimya sisi tunazika tukimaliza tutawaambia muongee

JokaKuu Pascal Mayalla Mag3 tindo
 
Hadi nimeona aibu habari kama hizi hadi vyombo vya kimataifa huzirusha..
Kama taifa tunadhalilika
mabeberu hayo hayatutakii mema kabisa yani mabeberu yamenunua majeneza kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nielekezeni namna ya kubadili uraia Aseeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majeneza yananunuliwa mtandaoni? Yale Yale ya Yule baba yake kuwa amefanya utafiti kakuta mapapai yana corona, hivi hawa watu shule walienda kweli?

Au kuna dhambi wamefanya inawatafuna? Maaana ujue mtu alietenda dhambi kubwa unamkuta anajiongelesha vitu vya kitoto kabisa na yeye anajisikia raha kuona yuko sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom