RC Makonda kawakaanga baadhi ya maaskofu, mapadri na wachungaji wanategemea matamuko na nyaraka badala ya Mungu na maandiko matakatifu

Kwa akili ipi ya kuwakosoa wasomi wetu viongozi wa dini kama hao??!!🤣
Kiongo zii dizain kiboko ya wachawii huwa wanakuwa na mafuasi yao majinga flani hivi yaliyokuwa brain washed kazi kumsifu Kila akifanyacho!!
Marekani wakikuita muuaji ujue wamejiridhishaaa...
Moja ya mifuasi yake ni miwanasheria wasakavyeo kama 👇🏽👇🏽👇🏽
 
Mchungaji wa kijani kutoka Highlands anasemaje?
 
Yaani muuaji Makonda anawaelekeza viongozi wa dini nini cha kufanya katika utume wao!! Hii ni laana kubwa!! Bila shaka damu za aliowaua zimeanza kumrudi.
 
Makonda ametwa na mama kusema hayo aliyo yasema, kupitia platform ya mwamposa, katika kipindi hiki taifa linapitia mauuji yeye kama kiongozi wa serikali ,anawataka viongozi wa dini wasiseme juu ya serikali kutenda haki?
 
Yaani muuaji Makonda anawaelekeza viongozi wa dini nini cha kufanya katika utume wao!! Hii ni laana kubwa!! Bila shaka damu za aliowaua zimeanza kumrudi.
Hata Mimi nimeshangaa Aisee! Huyu Muuaji Leo anawaelekeza nini cha kufanya Maaskofu!? Kwani ameshamalizana na GSM kwanza!?
 
Yaani muuaji Makonda anawaelekeza viongozi wa dini nini cha kufanya katika utume wao!! Hii ni laana kubwa!! Bila shaka damu za aliowaua zimeanza kumrudi.
Viongozi wa aina hii wanamharibia Mama Samia maana wateule wake watamgombanisha na viongozi wa Dini.
 
Back
Top Bottom