Namuunga mkono.Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje?
View: https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
Unaunga mkono ujinga?Namuunga mkono.
P
Unajiita Dr Akili, halafu kichwani umejaa matope tu kama ilivyo kwa huyo Makonda wako. 🚮Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje?
View: https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
jamii forums, anzisheni utaratibu wa kustaafisha watu kwa lazima humu jukwaani, iwapo tu itabainika wameanza kupoteza uwezo wao wa kujielewa na kujitambua.Namuunga mkono.
P
Kishoia HuyuHapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje?
View: https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
Duh...!. Inaitwa "mind incapacity", yaani unamaanisha nimefikia huku?.jamii forums, anzisheni utaratibu wa kustaafisha watu kwa lazima humu jukwaani, iwapo tu itabainika wameanza kupoteza uwezo wao wa kujielewa na kukitambua.
Mmojawapo ni huyu hapa Mheshimiwa sana.
Ni kweli ndugu yetu. Kama unaunga mkono huo ujinga aliounena Makonga, hakika sidhani kama upo kwenye utimamu kwa sasa.Duh...!. Inaitwa "mind incapacity", yaani unamaanisha nimefikia huku?.
P
Tanzania professionalism hakuna kila kitu ni intuition, mtu anasimama na kuongea anayofikiria, garbage, metaphorDuh...!. Inaitwa "mind incapacity", yaani unamaanisha nimefikia huku?.
P
Hata Mimi nimeshangaa Aisee! Huyu Muuaji Leo anawaelekeza nini cha kufanya Maaskofu!? Kwani ameshamalizana na GSM kwanza!?Yaani muuaji Makonda anawaelekeza viongozi wa dini nini cha kufanya katika utume wao!! Hii ni laana kubwa!! Bila shaka damu za aliowaua zimeanza kumrudi.
Viongozi wa aina hii wanamharibia Mama Samia maana wateule wake watamgombanisha na viongozi wa Dini.Yaani muuaji Makonda anawaelekeza viongozi wa dini nini cha kufanya katika utume wao!! Hii ni laana kubwa!! Bila shaka damu za aliowaua zimeanza kumrudi.