Kasema vizuri kuhusu biological weapons? Unahakika umesikiliza kwa makini au ndio zile huba tuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini alikubali Posho ya ujumbe wa Bunge la katiba kama anaona haina haja. Arudishe kama anavyotakiwa kurudisha za TASAFnimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Bwana huyu mbona kaongea vizuri tu...asingegusia kipengele cha pili salamu zake zingekuwa murua sana.
Hata biological weapon kasema in general terms na kutumia neno "huenda".
Tusimhukumu sana.
Matokeo ya kukubali kuongozwa na akili ndogo ndio hayo
Hawa jamaa inabidi wasaidiwe. Haiwezekani shughuli ya Kimataifa kama hiyo inaendeshwa kama ya kitaifa.... Actually, more kama vile ya Kichama.Nzige akiwa amechorwa kwenye jiwe 4000bc
View attachment 1367269
View attachment 1367271
Nzige akiwa amechorwa kwenye Kaburi la Tutmoses wa tatu miaka 4000kabla ya yesu
Sasa leo anakuja mjinga mmoja kuwaaminisha wanaCCM kuwa ati wametengenezwa ili kumpiga vita Magufuli
Heheheee!!!...bhagoosha? Acheni bhongo yenu
Huwa nashangaa alipataje urais wa jumuiya ya vyuo vikuu??Mimi huwa nadharau sana elimu ya darasani ila kupitia huyu jamaa nimegundua kuwa kumbe ina umuhimu sana!
sawa bashite umesikikaUngekaa kimya tu
Kuna relevancy?Alikuwa anatahadharisha kwamba kutokana na vita vya kiuchumi wenzetu wanatumia silaha kibao. Some of the weapons ni "democracy " ambayo hata wao hawako vizuri. Weapon ya pili "wanaweza" kutumia hata biological weapon kama virusi n.k. hajasema "tayari nchini kuna biological weapon kama mada inavyosomeka". Mkiambiwa kwamba UFIPA mlishaishiwa AGENDA mmebaki na kudandia MATUKIO mnakasirika. Endeleeni hivyo hivyo mtaona at the end of the election nini mtaambulia
Tiiyari video Imeshawekwa na wadauMbona kama unajisemesha mwenyewe tu?
Hii hoja haitakuwa imekamilika unless umeambatanisha na hoja hiyo kwa video ama sauti!!
Mkuu, nzige na madini wapi na wapi? Are we serious kwa mkutano adimu na wa kimataifa kama ule??Kauli yake ya "nzige kutengenezwa na kusambazwa" inawezekana kabisa. Tatizo la bwana yule ni kuropoka.
Nzige ni salaha nzuri sana kwa nchi maskini....unazalisha mayayai tu na kutegea kuyamwaga majira ya kipindi mazao yanaanza kukua.
Hahaha, umenikumbusha kwenye debate,Mimi huwa nadharau sana elimu ya darasani ila kupitia huyu jamaa nimegundua kuwa kumbe ina umuhimu sana!