RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Zero brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zero brain..

nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Zero brain at work

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimpa mtu mic, hana cha kusema, hajui cha kusema, hata speech rahisi tu ya msiba wa Mengi anaharibu.

Matokeo yake ndiyo haya.

Kama ukumbi una biological weapons, mkuu wa mkoa alitakiwa kuahirisha mkutano.

Kama ukumbi hauna biological weapons, kusema ukumbi unaweza kuwa na biological weapons ni irresponsible.

Ukichukua mtu hana elimu, ukampa madaraka kwa sababu anajikomba tu, matokeo yake ndiyo haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
worse is yet to come
 
I doubt he even knows what biological weapons are..

Si ajabu kasikia hayo mambo yanazungumziwa redioni na kwenye runinga halafu na yeye akaamua ayarudie hayo maneno ili aonekane ‘anajua’ mambo.
Sio kutokujua tuu what biological weapons are, bali ukisikiliza hata hiyo story alikuwa anabwabwaja hata wewe unayesikiliza utaona aibu.
Anasema mataifa mawili yalikuwa yanabishania kutengeneza hizo silaha 1942-43 lakini vita kuu ya kwanza ilipoisha 1973 ndio wakafanikiwa! Huyu ndio naambiwa eti kakaa (hata kama sio kusoma) chuo cha ushirika Moshi miaka 5? Kua na kiongozi wa mkoa kama Dar MTU kama huyu ni serikali au mteuzi kutojitambua. AIBU nyingine hii Leo mbele ya wageni tumepata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".

Mbona kama unajisemesha mwenyewe tu?

Hii hoja haitakuwa imekamilika unless umeambatanisha na hoja hiyo kwa video ama sauti!!
 
Baa la Nzige mwaka 1967 hadi 1969 sijui serikali ya magufuli ilikuwa wapi? ili ihujumiwe
1967_1969overview-1.jpg
 
Upupu mtupu.
Kauli yake ya "nzige kutengenezwa na kusambazwa" inawezekana kabisa. Tatizo la bwana yule ni kuropoka.

Nzige ni salaha nzuri sana kwa nchi maskini....unazalisha mayayai tu na kutegea kuyamwaga majira ya kipindi mazao yanaanza kukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kutokujua tuu what biological weapons are, bali ukisikiliza hata hiyo story alikuwa anabwabwaja hata wewe unayesikiliza utaona aibu.
Anasema mataifa mawili yalikuwa yanabishania kutengeneza hizo silaha 1942-43 lakini vita kuu ya kwanza ilipoisha 1973 ndio wakafanikiwa! Huyu ndio naambiwa eti kakaa (hata kama sio kusoma) chuo cha ushirika Moshi miaka 5? Kua na kiongozi wa mkoa kama Dar MTU kama huyu ni serikali au mteuzi kutojitambua. AIBU nyingine hii Leo mbele ya wageni tumepata.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vita ya kwanza imeisha 1973?

Siwezi kushangaa.

Alisema anataka kufanya Kigamboni iwe kama visiwa vya Jeramsey vilivyopo Marekani karibu na Manhattan!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Hili nalo nalifananisha na waliopost picha za barabara ngorongoro, wao wakaonekana si wazalendo. sasa najiuliza huyu je?
 
..Hotuba ya Makonda hii hapa.

..hotuba yake ilikuwa upuuzi mtupu.

..halafu anadai alikuwa na hamu vyombo vya habari vya kimataifa vingekuwepo ktk mkutano huo

Bwana huyu mbona kaongea vizuri tu...asingegusia kipengele cha pili salamu zake zingekuwa murua sana.

Hata biological weapon kasema in general terms na kutumia neno "huenda".

Tusimhukumu sana.
 
Sio kutokujua tuu what biological weapons are, bali ukisikiliza hata hiyo story alikuwa anabwabwaja hata wewe unayesikiliza utaona aibu.
Anasema mataifa mawili yalikuwa yanabishania kutengeneza hizo silaha 1942-43 lakini vita kuu ya kwanza ilipoisha 1973 ndio wakafanikiwa! Huyu ndio naambiwa eti kakaa (hata kama sio kusoma) chuo cha ushirika Moshi miaka 5? Kua na kiongozi wa mkoa kama Dar MTU kama huyu ni serikali au mteuzi kutojitambua. AIBU nyingine hii Leo mbele ya wageni tumepata.

Sent using Jamii Forums mobile app

Simtetei bashite na hata hivyo simkubali kutokana na kiburi chake.

Bashite hajasema vita vya pili vya dunia viliisha 1973, bali kasema mwaka 1973 walijaribu kuondoa matumizi ya chemical and biological weapons baada ya vita ya pili ya dunia! Neno baada lizingatiwe, mwake 73 ndio walitaka kuondoa matumizi
 
Bwana huyu mbona kaongea vizuri tu...asingegusia kipengele cha pili salamu zake zingekuwa murua sana.

Hata biological weapon kasema in general terms na kutumia neno "huenda".

Tusimhukumu sana.

Kasema vizuri kuhusu biological weapons? Unahakika umesikiliza kwa makini au ndio zile huba tuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom