RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

Matokeo ya kukubali kuongozwa na akili ndogo ndio hayo
Ukimpa mtu mic, hana cha kusema, hajui cha kusema, hata speech rahisi tu ya msiba wa Mengi anaharibu.

Matokeo yake ndiyo haya.

Kama ukumbi una biological weapons, mkuu wa mkoa alitakiwa kuahirisha mkutano.

Kama ukumbi hauna biological weapons, kusema ukumbi unaweza kuwa na biological weapons ni irresponsible.

Ukichukua mtu hana elimu, ukampa madaraka kwa sababu anajikomba tu, matokeo yake ndiyo haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa nadharau sana elimu ya darasani ila kupitia huyu jamaa nimegundua kuwa kumbe ina umuhimu sana!
Elimu si lazima iwe ya darasani. Kuna wengi hawana elimu rasmi lakini wameelimika.

Na elimu ya darasani nayo ina nafasi yake kumfanya mtu awe structured.

Ila huyu hana elimu ya darasani wala nyingine yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ajali kabisa. Nashukuru sana Gwajima alimwelezea vizuri tu huyu hafai akafanye kazi ingine sio hii, aibu majanga yataendelea. Ila tu kafaidi fedha za watu sana na kiburi cha uteuzi
 
Huenda hata haelewi maana ya biological weapon. "Tusimame, tutumie dakika moja kumhurumia"
Chemical weapons zimekuwa Biological weapons na Bomu la Nzige hahahahaa
 
halafu anaongea kwa kujiamini mithili ya yule Abu Sahaf wa Iraq enzi za Saddam Hussein

natumaini ukumbini kulikuwa hakuna mkalimani...vinginevyo ni fedheha mno.!

*hata hivyo huenda yy ndiye hiyo Biological weapons...ref..mwendazake mzee wa Fiesta,Masogange na yule Kebwee



Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Hotuba ya Makonda hii hapa.

..hotuba yake ilikuwa upuuzi mtupu.

..halafu anadai alikuwa na hamu vyombo vya habari vya kimataifa vingekuwepo ktk mkutano huo

 
Back
Top Bottom