RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Akiwaaibisha kwa wapu.mbavu kama wewe kuna shida gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi pia nilimuona Mteuzi akitoa hotuba kwamba kuna njama za kuiibia nchi na huyu Grace Magufuli nae anasema Nzige wametengezwa kwenye maabara

Hii paranoia huwapata watu wenye uelewa mdogo na vichaa watarajiwa
 
Labda ameona na kuambiwa kua tayari kunashambulizi la kibaiolojia apo kwenu ingawa bado ajataja nani kashambulia
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Mtu mwenyewe ushasema ni Makonda,... sijuwi ulitarajia nini zaidi ya hil?
 
Ila cha kujiuliza ni kama hata tukipigwa hizo silaha tuna uwezo wa kukabiliana nazo au ni kutegemea tu kudra za Mwenye enzi Mungu?

Lakini kwa kuwa tuna uzoefu wa kupambana kwa imani, tangu enzi za kina Kinjekitile 'risasi ikija sema maji'..bila shaka tutawategemea kina 'Kinje' wa zama hizi, kina Mwamposa, Mzee wa upako, Manyau nyau, Sheikh majini n.k.
 
nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea

Hajui tofauti ya mikutano ya ndani wala ya kimataifa.
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".

Mbona sioni connection ya RC Makonda uliyemtaja katika Headline yako na Content hii iliyopo hapa Mdau? Kulikoni tena?
 
Mnatoa kauli kama hii ili watu wajijadhari vipi ? Weapon kama hizo zinaweza kuwepo na mtu wa kawaida ni vigumu kufanya lolote..., wenyewe kama nchi wenye intelijensia ndio wanaweza kujua threat ipo wapi na wapi pa kuizima kuliko kuanza kuleta panic kwa watu.., isije ikawa ya Sadam Hussien na Weapons of Mass Destruction
Wajua yawezekana ukawa na uwezo sawa na bashite? Hope si tusi kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Kilaza ni atakayeamini tuna biological weapons, tangu lini


Na kilaza zaidi ni anayelibeba neno kama lilivyo na kulibwaga humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ...... Asingetamka hayo maneno

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".

Hii ni kauli tata sana. Kusema "biological weapon" ktk mkutano wa kimataifa ukizingatia kuna janga la COVID 19 ni kukanganya watu.

Huenda wahudhuriaji wakatafsiri vibaya, mfano akiwapo mchina atajihisi yeye ndio weapon husika kutokana na kuhusishwa na covid 19; ama mmarekani kajihisi yeye ndio anasemwa kutokana na nadharia zinazomhusisha na covid 19; ama wahudhuriaji wakadhani kuwa kitu covid 19 kilishafika Tanzania.

Tanzania sidhani kama tuna maabara ya kutengeneza biological weapon, labda kutumia nyuki kwa kupasuamizinga ya nyuki alipo adui yetu!
 
Wamesahau kwamba watanzania si wajinga...Wamesahau kwamba uelewa uko juu kuliko nyakat zozote...kikemia aeleze nini kimo kwny chemical weapons...kuna wakati mwingine mtu anaweza jikuta anaongelea chemical weapons kumbe yy mwenyewe ni weapon chemically!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aeleze chemical weapons ipi? Inawezekana hata wewe huelewi unazungumzia nini

Anyway kwa sisi ngumbaru biological weapons ndio chemical weapons?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi pia nilimuona Mteuzi akitoa hotuba kwamba kuna njama za kuiibia nchi na huyu Grace Magufuli nae anasema Nzige wametengezwa kwenye maabara

Hii paranoia huwapata watu wenye uelewa mdogo na vichaa watarajiwa

Nzige wanaweza kutengezwa maabara ndio...ila kuropoka tu pasipo data ni kuleta sitofahamu
 
Back
Top Bottom