RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

sikupata bahati ya kufuatilia, hivi alikuwa anaongea kizungu au lugha ya taifa?
nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea

In God we Trust
 
Mnatoa kauli kama hii ili watu wajijadhari vipi ? Weapon kama hizo zinaweza kuwepo na mtu wa kawaida ni vigumu kufanya lolote..., wenyewe kama nchi wenye intelijensia ndio wanaweza kujua threat ipo wapi na wapi pa kuizima kuliko kuanza kuleta panic kwa watu.., isije ikawa ya Sadam Hussien na Weapons of Mass Destruction
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Huyo kijana anatakiwa awe anashauriwa nn cha kuongea, hayo mambo ya biological weapons ni ya watu wa TISS na JWTZ, na ndo maana hata viongozi wakubwa wa nchi huwa wako kimya kwani huitaji kuyafukua au kuongelea sana utawaamsha maadui wakushughulikie
 
Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini.
Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji.
Wageni wanataraji kunywa,kula,kustarehe na kulala hapa kwetu.
Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo "biological weapons".
Bilogical Weapon ndio iliyomuua "MASOGANGE". ana Experience na hayo mambo.
 
nimecheka sana yaaani hata aliyoongea hayaendani na mkutano..eti anachukia neno demokrasia hata wanaohubili demokrasia kwao haipo,eti hata katiba mpya haina haja kwani na wao hawana katiba mpya yaaani huyu kijana atawaabisha sana kwenye mikutano ya aina hii asipewe nafasi ya kuongea
Ujinga haujilikani mpaka mtu apewe nafasi ya kunena au kutenda.
 
Mpeni mic aendelee bhana hahahahahah
wageni wakija ikijuwa watoto wanafukuzwa sasa mnamwingiza huyo si ataropoka yasiyotamkwa?
 
Back
Top Bottom