RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

Watanzania sio wajinga

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Yeye anadhani anawpiga vijembe na kuwakomoa USA, si uliona baada ya kupigwa ban ya kuingia US baada ya siku 3 akaonekana ubalozi wa China, yani huyu jamaa sijui anaogopwa sijui kuna nini hapo
 


Ana fursa ya kuviamuru vyombo vya usalama vy kiintelijensia kuwasaka na kuwakamata wahusika, vilevile waliomvujishia siri watakuwa na taarifa kamili juu ya jambo hilo kwahiyo tunatarajia kusikia wahusika wametiwa nguvuni
 
Tatizo, kabla hata ya kuanza kuongea, mlishatengeneza negativity zenu.
 
Huyu Kilaza jamani. Eti Biological weapons. Anajua hata maana yake ?Au ndo kina lemutuz wanamdanganya ?Tanzania ikipigwa biological weapon wote tutaisha.
Victoire huyo kaka yako huwa simuelewi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…