RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

- Watoto wa kiume wa Dar hawa, kazi kufuatilia mavazi ya Wanaume wasiowajua kwenye mitandao kwa kutumia majina ya bandia, ni hatare sana hawajui hapa ni Pwani hahahahahahha

le Mutuz Superbrand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pwani unapunga upepo hawajui kabisa
 
- hahahahahaha Chuki na Wivu huzaa matokeo kama haya yaani binadam haelewi anachosema wala anachotaka, Mungu aniepushe maana kufikia huku ni lazima utakua na matatizo makubwa sana ya Afya ambayo sina so pole sana mkuu tafuta na picha zingine weka hapa, ila kitabu kitazinduliwa tarehe 31/8 King Solomon Hall hahahaha U know

le Mutuz Superbrand[/QUOTE]

Mkuu ningeweza kununua ila kwakuwa bado nipo huku Grand Rapid-Michagani Tabu lako halina maana kwangu. Experience yako USA haimaanishi wote tunapitia.Tatizo haukuwa na Akili toka mwanzo. Baba yako ka waziri mkuu unge kuwa mbalisana sasa hivi. Uenda ungekuwa hataraisi wetu but bichwa tikiti maji

View attachment 846031
View attachment 846031[/QUOTE][emoji23][emoji23][emoji23] fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unawezaje kununua kitabu cha zero brain kama huyu le mutuz.Tunanunua vitabu vya kutuinspire na kutushawishi kuelekea katika positive way.Sasa huyu tikiti ataweza kweli kunishawishi mimi msomi kabisa? Atakayenunua atakuwa hajitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ningeweza kununua ila kwakuwa bado nipo huku Grand Rapid-Michagani Tabu lako halina maana kwangu. Experience yako USA haimaanishi wote tunapitia.Tatizo haukuwa na Akili toka mwanzo. Baba yako ka waziri mkuu unge kuwa mbalisana sasa hivi. Uenda ungekuwa hataraisi wetu but bichwa tikiti maji

View attachment 846031
View attachment 846031[/QUOTE]

- Sitaki kuamini kwamba hayo ni majengo yako huko uliko USA, kwa hizi picha tu nimekudharau kwamba ni fala nitapoteza mdua wangu kusoma post yako yote, ila by the way nilipokuwa huko USA nilikua ninaishi ninavyota
ka na hata huku bongo pia maisha ni yale yale, ila ninawacheka watoto wa viongozi wengi wanaohangaika hapa mjini ni huzuni, ninamshukuru sana Mungu kwamba sikupitia maisha ya Power maana na mimi ningekuwa kama hawa ninaowaona kila siku wanasota hapa mjini, pole sana hapa umepiga mwamba!

le Mutuz Superbrand
 
Babu pesa hazipigi kelele sema unapata chenji chenji acha masikhara na pesa wenye pesa hawana mboyoyo kama hizi zako.

- Labda hujaelewa somo, ni kwamba kwa kutmia majina ya bandia humu JF unawanufaisha sana watu wewe hupati kitu, ni tofauti na mimi ambaye ninalipwa na Google kila jina langu linapokuwa clicked.

le Mutuz Superbrand
 
- Mzee Mengi hawezi kuwa hajitambui, anayejitambua hatumii majina ya bandia hahahahahaha jipime tena mkuu kama kweli unajitambua hahahahahha

le Mutuz Superbrand
 
[emoji23][emoji23][emoji23] fact

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]

- Mkuu kwa kupigana mweneywe na maisha nipo mbali sana infact hata watoto wa viongozi wengi wanani admire sana na hata wazazi wao, nimeshauza nusu ya vitabu nilivyochapisha na sio siri vitaisha vyote, wewe endelea na ujinga wako sisi tunapiga pesa

le Mutuz Superbrand
 
Hicho kitabu FEKi utakuwa na experience gani wakati maisha ya amerika yamekushinda ukakimbilia kujibanza kwa waanii kubeba mikoba, hata ukashidnwa kupata cheo ndani ya ccm??
 
Hicho kitabu FEKi utakuwa na experience gani wakati maisha ya amerika yamekushinda ukakimbilia kujibanza kwa waanii kubeba mikoba, hata ukashidnwa kupata cheo ndani ya ccm??

- Unajua binadam kufikia kujifannisha na mbwa inajisema ni wa aina gani hasa ukijua jinsi mbwa wanavyofanya mapenzi na kuna binadam anajifananisha hivyo, ni hatare sana

- le Mutuz Superbrand
 
- Unajua binadam kufikia kujifannisha na mbwa inajisema ni wa aina gani hasa ukijua jinsi mbwa wanavyofanya mapenzi na kuna binadam anajifananisha hivyo, ni hatare sana

- le Mutuz Superbrand
haya bwana nakusubiri Mocca Citty ahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…