RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Kwanza, namshukuru Mungu kwa waandishi mbalimbali wa vitabu na story mbalimbali, W. J. Malecela akiwa mmojawapo. Hii ni njia pekee ya kuweza kuona visivyoonekana, kusikia visivyosikika, kushika visivyoshikika, kufika pasipofikika, n.k.

Kwa wale waliosoma story ya Le Mutuz hebu tujuzane kuna funzo gani ndani yake kwa kadri ya mtazamo na uelewa wako.
 
Kwangu, niliona maisha ya super Le mutuz yakiwa challenged na mahusiano ya kimapenzi. Ni mahusiano ndio yaliyokuwa yana mtrap Le mbebez.
 
Dah!we jamaa!yani umepata muda kabisa wa kusoma maisha ya Lemutu?
 
- Sema kwa ulizozizoea haikutoshi hahahahahhaa

le Mutuz Superbrand

Mzee jumanne bora angetumia mpira wa kinga tu kuliko kwa laana hii aloileta duniani!! Nilimshangaa sana mama ..... kuzaa na taahira kama wewe!
 
lemutuz ndo nani?
Mtoto wa waziri mkuu mstaafu pia ni mfalme wa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vyote hapa Tz ña sasa ni mtunzi wa vitabu vyenye madini na akili nyingi ndani yake
 
Mzee jumanne bora angetumia mpira wa kinga tu kuliko kwa laana hii aloileta duniani!! Nilimshangaa sana mama ..... kuzaa na taahira kama wewe!

- hahahahaha imekuingia doze hahahaha yaani majina ya bandia na kutumia picha za mbwa sina hata la kuongeza kuhusu kichwa chako na cha baba yako hahahahahaha!

le Mutuz Superbrand
 
- Karibu sana maana vitabu vinakaribia kuisha boss hii ni kazi kazi!

le Mutuz Superbrand
 
- hahahahaha imekuingia doze hahahaha yaani majina ya bandia na kutumia picha za mbwa sina hata la kuongeza kuhusu kichwa chako na cha baba yako hahahahahaha!

le Mutuz Superbrand

Ona taahira linavyojichekesha!!! Huna akili ndo maana mzee mzima unarukwa ukuta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…