squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Mbeleko inakaba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!we jamaa!yani umepata muda kabisa wa kusoma maisha ya Lemutu?Kwanza, namshukuru Mungu kwa waandishi mbalimbali wa vitabu na story mbalimbali, W. J. Malecela akiwa mmojawapo. Hii ni njia pekee ya kuweza kuona visivyoonekana, kusikia visivyosikika, kushika visivyoshikika, kufika pasipofikika, n.k.
Kwa wale waliosoma story ya Le Mutuz hebu tujuzane kuna funzo gani ndani yake kwa kadri ya mtazamo na uelewa wako.
- Sema kwa ulizozizoea haikutoshi hahahahahhaa
le Mutuz Superbrand
Dah!we jamaa!yani umepata muda kabisa wa kusoma maisha ya Lemutu?
ni makonda au le mutuz??
Makonda bado anapigania viti vyake na meza kwanza...ni makonda au le mutuz??
Acheni chuki bila sababu za msingi wewe ni fu*kny flan hivi.Eti superbrand..hii title kapewa na nani??
Mtu anayejielewa hawezi kuacha kusoma nondo za kina R.kayosaki,asome hiki cha huyu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa waziri mkuu mstaafu pia ni mfalme wa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vyote hapa Tz ña sasa ni mtunzi wa vitabu vyenye madini na akili nyingi ndani yakelemutuz ndo nani?
unaweza kuzindua pia mwonekano wa k........lio !!!Mtoto wa waziri mkuu mstaafu pia ni mfalme wa mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vyote hapa Tz ña sasa ni mtunzi wa vitabu vyenye madini na akili nyingi ndani yake
Mzee jumanne bora angetumia mpira wa kinga tu kuliko kwa laana hii aloileta duniani!! Nilimshangaa sana mama ..... kuzaa na taahira kama wewe!
Kwanza, namshukuru Mungu kwa waandishi mbalimbali wa vitabu na story mbalimbali, W. J. Malecela akiwa mmojawapo. Hii ni njia pekee ya kuweza kuona visivyoonekana, kusikia visivyosikika, kushika visivyoshikika, kufika pasipofikika, n.k.
Kwa wale waliosoma story ya Le Mutuz hebu tujuzane kuna funzo gani ndani yake kwa kadri ya mtazamo na uelewa wako.
Acha upuuzi mkuu..ukiona mtu anashambuliwa sana na watu ujue kuna kitu..niwe na chuki na huyu dingi wa 57+ kisa nini??
- hahahahaha imekuingia doze hahahaha yaani majina ya bandia na kutumia picha za mbwa sina hata la kuongeza kuhusu kichwa chako na cha baba yako hahahahahaha!
le Mutuz Superbrand