RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

View attachment 845682[/QUOTE]


- hahahahahaha Chuki na Wivu huzaa matokeo kama haya yaani binadam haelewi anachosema wala anachotaka, Mungu aniepushe maana kufikia huku ni lazima utakua na matatizo makubwa sana ya Afya ambayo sina so pole sana mkuu tafuta na picha zingine weka hapa, ila kitabu kitazinduliwa tarehe 31/8 King Solomon Hall hahahaha U know

le Mutuz Superbrand
 
Mzee Mengi aje kuzindua upuuzi??

Nitamshangaa sana,
Acha kutafuta kiki za kijinga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh JF kiboko jamani nimesoma comments nimecheka kifala yaani,kitabu ni 15K tu na unapata burudani ya Ngwasuma lakini watu bado wamekomaa [emoji23][emoji23] unaweza kukuta wanao mfurumusha uku kwa comment kali ndio wanaompa moyo kule IG.
Sasa kule IG ukimponda tu anakublock, inabidi tu umsifie ili uendelee kuona wabebez wenye rangi ya mtume[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- hahahaa jana nimesafiri naye siku nzima pole sana mkuu hahaha majuha kama wewe siwahitaji kwenye kitabu changu hahahahaha utakufa tu kwa ujinga ujinga sisi tunaONDOKA!

le Mutuz Superbrand
[emoji23] le akili kubwaz , mimi nitakutafuta unipe connection na big business moguls you know nataka nifungue ze supa bloguz u know

- le mutuz bwana ya mange, le akili kubwaz of all social networks except jamiiforums, le mupa boss of downtowns u know--

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami baada ya awamu hii kuisha (mwaka 2020 au 2025), nitazindua kitabu changu cha "MY TANZANIAN EXPERIENCE" ambapo ndani kutakuwa na JAMIIFORUMS EXPERIENCE ikiwa kama chapter [emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…