RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa karudi marekani na mapensi nyanya(makaptula yale) ya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bure sikitaki ,Amekimbia mke na watoto USA kisa majukumu akueka upupu huo kwenye kitabu.
....chezeya maisha ya US kwa ubabaishaji uone. Aliwahi kulalamika kwenye blogu yake kuwa alikurupuka kujaza credit card, matokeo yake akaishia kuwa analipa madeni tu miaka yote mpaka akakimbia; nadhani ndivyo alivyoweka kwenye hicho "kitabu" chake. Unfortunately atapata wasomaji wengi tu kwa sababu mazezeta wapo wengi pia, si ajabu akauza hadi zaidi ya kopi 10,000 na kujipatia 150m za chapuchapu.
 
watu wanaongea kuhusu kibamia chako kwasababu Tanzania na dunia nzima imekiona kibolo chako ka toothpick hamna mambo ya jinsia sijui nini......tumbo kubwa kibolo toothpick

wenzako wa umri wako wanakula pension eti we ndo unataka kuoa sasa icho kibolo si ukizike tu mana kimeshafunikwa na kitambi chako

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaa duh.

- hahahahaha mtoto wa kiume unalilia kibamia? hahahahahahaha halafu unajua hapa ni pwani haya ni maneno ya kawaida kwenye maendeleo binadam unapokuwa na maendeleo ni lazima kuwepo na kelele za mlango, nilikua nimeoa na nina watoto 2 na sasa naoa tena na nitaongeza watoto tena, wewe endelea kulia lia na kelele za mtandao mimi nitaendelea kuzitumia kutengeneza pesa, ndio maana ya Akili Kubwa

le Mutuz Superbrand
 
....chezeya maisha ya US kwa ubabaishaji uone. Aliwahi kulalamika kwenye blogu yake kuwa alikurupuka kujaza credit card, matokeo yake akaishia kuwa analipa madeni tu miaka yote mpaka akakimbia; nadhani ndivyo alivyoweka kwenye hicho "kitabu" chake. Unfortunately atapata wasomaji wengi tu kwa sababu mazezeta wapo wengi pia, si ajabu akauza hadi zaidi ya kopi 10,000 na kujipatia 150m za chapuchapu.

- Zamani ulikua naandika mambo mazito na wewe sasa umeishia kuandika umbeya na udaku? au kuna mtu ameiba ID yako? Siamini hii ni wewe tuliyekuwa tunaisumbua serikali na hoja hapa mpaka wanataka kuifunga JF, leo wewe unaandika udaku aibu!

le Mutuz Superbrand
 
Kwani anavaaga nn?

- Watoto wa kiume wa Dar, kazi kuingia mitandaoni kwa majina ya bandia na kuulizia mavazi ya wanaume wasiowajua, hahahahaha halafu utakuta wana wameoa pia, hahahahaha yaani huwezi kujua mwanaume nani na demu ni nani hahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Daah wakuu mbona manponda sana baba Wa watu aiseee kafanya nini kwani? Hongera le mutuz akili mingi .

Sent using Jamii Forums mobile app

- Wasipofanya hivi thread itakufa ninapata watu almost 5 kila siku kutoka hapa wanaotaka vitabu hahahahahah ninataka kuuza kitabu by anymeans so far vimebaki robo, so relax wana nisaidia sana hahahahahaha ndio maana ya akili kubwazz unatumia ujinga wa majuha kutengeneza faida

le Mutuz Superbrabnd
 
Ha ha ha Tuzoee tuu le mutuzi sisi Watanzania ndivo tulivo wasikuvunje moyo
Be brave holing up front to make your Goal and dream true Goodlucky

Le mutuz nahitaji copy moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom