Emaroli
Senior Member
- Oct 28, 2014
- 160
- 144
Uvae Suti siku hiyo sio hayo manguo yako hilo ni tukio "Spesho".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmejikuta nacheka kwa sauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvae Suti siku hiyo sio hayo manguo yako hilo ni tukio "Spesho".
Acha upuuzi mkuu..ukiona mtu anashambuliwa sana na watu ujue kuna kitu..niwe na chuki na huyu dingi wa 57+ kisa nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona taahira linavyojichekesha!!! Huna akili ndo maana mzee mzima unarukwa ukuta!
Nakazia hapo!Not talking about his title.
But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.
Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
![]()
Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda.
Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku.
Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.
Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.
Le Mutuz Superbrand
You can comment better than this.Si busara kutumia lugha hii kwenye mjadala japo siwezi kukupangia cha kuandika ila jaribu kuwa na hekima japo kidogomi nikisikia Le mutuz ana mimba sitashangaa nna mashaka sana na jinsia yake isije kuwa kwenye ile video kile ni kinembe chake sio kibamia kama tunavodhani
# I SUBMIT
Sent using Jamii Forums mobile app
unawashwa sioYou can comment better than this.Si busara kutumia lugha hii kwenye mjadala japo siwezi kukupangia cha kuandika ila jaribu kuwa na hekima japo kidogo
Cha Mengi nilitumiwa na... huku kijijini na sahihi yake na jina langu juu 😁
Yule akili kisoda labda ccm lumumba ndio watanunua mana nao mapopoma kma yeye,mende wake hali sio nzuri leo lazma apate mpNaomba tujitokeze kwa wingi kitabu kizinduliwe,
Yaan ni muhim walimu wa mikoa wa Dar kwa kuhamasisha uandishi wa vitabu