RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Acha upuuzi mkuu..ukiona mtu anashambuliwa sana na watu ujue kuna kitu..niwe na chuki na huyu dingi wa 57+ kisa nini??

Sent using Jamii Forums mobile app

- hahahahaha ukiona mtoto wa kiume anaingia kwenye mitandao na kushambulia wanaume asiowajua na hata kutetea vitendo hivyo ujue kuna tatizo mahali sijui wapi hahahahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Hata uchawi ulianza kwenye Thread kama hii you know!!!!
 
39685795_1030781437104254_5904349622653943808_n.jpg


Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda.

Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku.

Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.

Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.

Le Mutuz Superbrand

Hongera Brother. Pamoja na kuwa kuna mambo tunakubaliana vs kutokukubaliana humu JF lakini la Kitabu Big up sana! Natumai hujachomekea Ubuyu humo maana kufanya hivyo kutapoteza maana halisi ya "MY"
 
mi nikisikia Le mutuz ana mimba sitashangaa nna mashaka sana na jinsia yake isije kuwa kwenye ile video kile ni kinembe chake sio kibamia kama tunavodhani
# I SUBMIT

Sent using Jamii Forums mobile app
You can comment better than this.Si busara kutumia lugha hii kwenye mjadala japo siwezi kukupangia cha kuandika ila jaribu kuwa na hekima japo kidogo
 
Naomba tujitokeze kwa wingi kitabu kizinduliwe,

Yaan ni muhim walimu wa mikoa wa Dar kwa kuhamasisha uandishi wa vitabu
 
Daawh!

Kuna watu wana Nuksi hatareee

Siku chache kabla ya kuzindua kitabu mfadhili anapigwa Mtama

Kabembelezwa kuoaaaa kakataaa ile anakubali tu Na mfadhili anajitangaza hadharani kufadhili zahmatu minal balaa linaibuka


Mtoto wa Waziri Mkuu Na Makamu wa kwanza wa Rais Na Makamu Mwenyekit Mstaafu wa CCM Taifa unaenda Kuwa Mpambe wa kijana mdogo toka Misungwi aliekuja mjini Baada ya kubalehe?"!
 
Walimu wote huu Ndio muda Wa kumuunga nkono Mheshimiwa nkuu Wa nkoa ili apate ujasiri Wa kututetea tupate kukalia masofa na makochi. Tujitokeze siku ya uzinduzi kuonyesha kuguswa na suala la samani zetu
 
Back
Top Bottom