RC Makonda na Mambosasa, kwa hili la baadhi ya watu kutokuvaa barakoa DSM mnamuangusha Rais

Ujinga=umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Makonda una msingizia. Aliyetamka Dar es salaam kuvaa hizo vitambaa ni Makonda sio Magufuli. Magufuli ni mtu wa imani zaidi katika hii vita ya Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokuvaa barakoa sio kumwangusha magu ni hatari kwa wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…