Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club


Hivi Mengele ni msanii wa kitu gani?

Mimi huwa namuona ni mhamasishaji na kiunganishi kizuri inapotokea tatizo,zaidi ya hapo sijui ni msanii wa ngoma za asili au kitu gani.

RC wa Dar sina hakika kama anayajua majukumu yake. Au kutokana na kutozungumzwa kwa muda alitaka kuwatumia hao wasanii ili azungumziwe. Kitu ambacho pia kimeshindikana kutokana na hao wasanii nao kushuka sana kiumaarufu!
 
Wanawapanga kujiandaa kuzunguka kwenye kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…