Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

Hakika alichokiandika Wakazi ni point tupu, Bashite hajawahi kuwa na uchungu na wasanii, ni vile anawatumia tu kupata anachokitaka, either Kiki ama kuna kitu kinakuja kinachohusu wasanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi natazama runinga kupitia stesheni ya Wasafi TV nilianza kupatwa na hofu baada ya maneno haya.
"Najua tumesoma wote, tumekuwa wote, mnanizidi lakini tambueni hatulingani mimi ni mkubwa kwenu na hamnipunguzi mshahara wangu. Siku nyingine kabla ya kuhoji jiulize mimi ni nani.") - RC Paul Makonda
 
Sijajua kwanini mnamchukulia poa Wakazi, huenda wewe sio audience yake that's why humuelewi ila hiyo haimfanyi kuwa wa kawaida..... Wakazi ana staili zake na yupo vizuri katika kile anachokifanya na anawazidi wengi tu hasa katika namna yake ya kufikiri.... Wakazi ataupeleka mbali muziki wa tz
Kukaa chicago kupiga picha na kina eminem krs one 50 nk anaon anajua kila kitu,dogo ni wakawaida sana,yuko overrated.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua kwanini mnamchukulia poa Wakazi, huenda wewe sio audience yake that's why humuelewi ila hiyo haimfanyi kuwa wa kawaida..... Wakazi ana staili zake na yupo vizuri katika kile anachokifanya na anawazidi wengi tu hasa katika namna yake ya kufikiri.... Wakazi ataupeleka mbali muziki wa tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina tatizo kwenye ufikiri wake,mziki anaofany na yeye mwenyewe ni wakaida tu tatizo anakuw overrated.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi natazama runinga kupitia stesheni ya Wasafi TV nilianza kupatwa na hofu baada ya maneno haya.
"Najua tumesoma wote, tumekuwa wote, mnanizidi lakini tambueni hatulingani mimi ni mkubwa kwenu na hamnipunguzi mshahara wangu. Siku nyingine kabla ya kuhoji jiulize mimi ni nani.") - RC Paul Makonda
Huyu dogo Makonda ni mpumbavu sana.
 
Back
Top Bottom