Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Dodoki...hasa lile la porini ni zuri sana kwa kusafishia kuliko haya ya plastikiš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]ni mwaka wa uchaguzi kuwa mpole Valentine ipite utaona maajabu ya maziwa na asali toka nchi ya maajabuMshana Jr, tupe za uchawi zaidi aisee.. Maisha magumu ndugu watu wameanza kuwewekeza kwenye kubet na njombe. (God Forbid)
Chagua sasa[emoji24]kwahy n bora kuwa nani kat ya dodoki na toilet paper ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga ( toilet paper) hapaswi kumcheka simba ( dodoki)
Ndiyo kuna shida.. tena kubwaa! huwezi kuitisha kikao na wasanii halafu badala kuzungumzia changamoto zao na pia umewaita halafu unaanza kumuongelea mtu mmoja ambaye yuko mbali na nchi kuwa yeye anavuta!. inamaana aliwaita wasanii kuwaeleza kuwa konde boy anavuta!..kuna shida kwenye hilo?
Wakazi haimbi anarapWakazi ni steve nyerere wa bongofleva, kuimba hajui ila kelele nyingii.