UjitambuiHuyu wakaz n fungu la kukosa, hana mziki wwte ule lakn mbwembwe zake twitter utamwogopa[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umwambie wwFungu la kukosa tena " huyo music anaufanya for funny ...ni mtoto wa kishua huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
People hate what they don't understand. Chalii ana project zake za kumuendeshea maisha wala sio huo mziki. Hafanyii mziki njaa japo ana talent!
Are you okat mkuu,aliitwa BBA huyu asiejuaWakazi ni steve nyerere wa bongofleva, kuimba hajui ila kelele nyingii.
Kukaa chicago kupiga picha na kina eminem krs one 50 nk anaon anajua kila kitu,dogo ni wakawaida sana,yuko overrated.Wakazi ni steve nyerere wa bongofleva, kuimba hajui ila kelele nyingii.
Kukaa chicago kupiga picha na kina eminem krs one 50 nk anaon anajua kila kitu,dogo ni wakawaida sana,yuko overrated.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza kufikiri kuwa wengi humu wameanza kumfahamu Wakazi baada ya album yake ya kisimani, hawajui kuwa Wakazi amefanya mengi na ana achievements nyingi kuliko rappers wengi tu tz
Sina tatizo kwenye ufikiri wake,mziki anaofany na yeye mwenyewe ni wakaida tu tatizo anakuw overrated.Sijajua kwanini mnamchukulia poa Wakazi, huenda wewe sio audience yake that's why humuelewi ila hiyo haimfanyi kuwa wa kawaida..... Wakazi ana staili zake na yupo vizuri katika kile anachokifanya na anawazidi wengi tu hasa katika namna yake ya kufikiri.... Wakazi ataupeleka mbali muziki wa tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa kutoa maoni upo ila sasa sina hakika kama uhuru baada ya hayo maoni utakuwepoHalafu niwasikie mnasema hakuna uhuru wa maoni hahaha
Rudi kwenye alichoandika, Je kasema ukweli au kakosea?Huyu wakaz n fungu la kukosa, hana mziki wwte ule lakn mbwembwe zake twitter utamwogopa[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe umetokea wapi si ungeleta mambo yenu ya fisiem jinsi mlivyokula zile 1.5tsasa hapo huyo chizi Lissu katokea wapi?
Mcheki hapa:Who is Wakazi? hebu tupieni walau wimbo wake mmoja nisikie mistari yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo Makonda ni mpumbavu sana.Kipindi natazama runinga kupitia stesheni ya Wasafi TV nilianza kupatwa na hofu baada ya maneno haya.
"Najua tumesoma wote, tumekuwa wote, mnanizidi lakini tambueni hatulingani mimi ni mkubwa kwenu na hamnipunguzi mshahara wangu. Siku nyingine kabla ya kuhoji jiulize mimi ni nani.") - RC Paul Makonda
Aaah! Kudadake bonge la ngoma.. Yaani Wakazi kawachafua, kaongea ukweli ambao wengi tunaoujua bila uoga.Mcheki hapa: