Hivi huo mchango mkubwa wa wasanii wa Tanzania kwa jamii huwa ni upi?- Vyombo vipo vya kusimamia sanaa na wasanii. Hili inabidi lizungumzwe na BASATA kuliweka sawa. Kunapoelekea wasanii wanaweza kuanza kuchukiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza makundi.
- Wasanii wapewe heshima zao na wathaminike kwani mchango wao ni mkubwa sana katika jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite is a disgrace.Kipindi natazama runinga kupitia stesheni ya Wasafi TV nilianza kupatwa na hofu baada ya maneno haya.
"Najua tumesoma wote, tumekuwa wote, mnanizidi lakini tambueni hatulingani mimi ni mkubwa kwenu na hamnipunguzi mshahara wangu. Siku nyingine kabla ya kuhoji jiulize mimi ni nani.") - RC Paul Makonda
una simu nzuri mkuuBashite is a disgrace.
Sent using my Nokia Torch
Watazing'oa au wataondoka na mikanda.[emoji23]Dah.....
Mi naweka kamera pale coco beach nione nani atautupa mwili wako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo brazaHivi ukitoa nikki wa pili,AY na mwana FA kuna msaini mwingine wa bongo aliyefika walau form six tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nacheka kama mazuri,hakika mwenyezi Mungu uwabariki viongozi wa jf,wabariki waandishi wa jf akiwemo Mshana jr!
Mshana jr ana akili Mingi sanaaaaaa, nmepitia uzi wake dhidi yabToilet paper na Dodoki nikaishia kucheka kama nafurah aise!
Wasanii wa Tanzania, wanafaa kuitwa wasaniii kama wanavyoitwa, hiv yu wapi yule kijana MARO? mpeni salamu zangu 2020 kuna uchaguzi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club - JamiiForumsHiyo thread iko wapi?