Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

Fasih, bado nitaendelea kuchambua neno kwa neno. Hili la toilet paper na dodoki nitaanzia hapo! watu wanakurupuka kujibu mh! unafikirisha mkuu
 
Toilet paper ni kama karai wakati wa ujenzi wa nyumba linakuwa na thamani na ni kifaa muhimu sana,ila pindi ujenzi ukamilikapo hutupwa uwani na umuhimu wake unakuwa haupo tena.
 
- Vyombo vipo vya kusimamia sanaa na wasanii. Hili inabidi lizungumzwe na BASATA kuliweka sawa. Kunapoelekea wasanii wanaweza kuanza kuchukiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza makundi.

- Wasanii wapewe heshima zao na wathaminike kwani mchango wao ni mkubwa sana katika jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huo mchango mkubwa wa wasanii wa Tanzania kwa jamii huwa ni upi?
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nacheka kama mazuri,hakika mwenyezi Mungu uwabariki viongozi wa jf,wabariki waandishi wa jf akiwemo Mshana jr!

Mshana jr ana akili Mingi sanaaaaaa, nmepitia uzi wake dhidi yabToilet paper na Dodoki nikaishia kucheka kama nafurah aise!

Wasanii wa Tanzania, wanafaa kuitwa wasaniii kama wanavyoitwa, hiv yu wapi yule kijana MARO? mpeni salamu zangu 2020 kuna uchaguzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukitoa nikki wa pili,AY na mwana FA kuna msaini mwingine wa bongo aliyefika walau form six tu?
 
Kipindi natazama runinga kupitia stesheni ya Wasafi TV nilianza kupatwa na hofu baada ya maneno haya.
"Najua tumesoma wote, tumekuwa wote, mnanizidi lakini tambueni hatulingani mimi ni mkubwa kwenu na hamnipunguzi mshahara wangu. Siku nyingine kabla ya kuhoji jiulize mimi ni nani.") - RC Paul Makonda
Bashite is a disgrace.

Sent using my Nokia Torch
 
Katika vitu nitavipigania siku zote katika maisha yangu ni kuifanya familia yangu wawe na Misimamo Thabiti na Kujiamini. Mara nyingi hii huwa inaletwa na hali njema ya kiuchumi nyumbani. Wakazi, Nikki Mbishi, Ghetto Republic, hawa ni vijana waliokulia na kutoka kwenye familia bora ambazo wazazi wao waliwekeza vichwani mwao Ukweli kwa kiasi kikubwa.

Hivyo sion ajabu kwa kijana wa Wasira kumwambia ukweli mtupu mpenda Misifa. Mfano mdogo tu kwa familia za kishua ni pale mtoto anapomuomba baba yake amletee Chocolate jion akirudi kutoka kazini, kweli baba akirudi atamletea chocolate na sio maneno. Haijalishi ni ya shi ngapi ila lazima alitimize aliloliahidi.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nacheka kama mazuri,hakika mwenyezi Mungu uwabariki viongozi wa jf,wabariki waandishi wa jf akiwemo Mshana jr!

Mshana jr ana akili Mingi sanaaaaaa, nmepitia uzi wake dhidi yabToilet paper na Dodoki nikaishia kucheka kama nafurah aise!

Wasanii wa Tanzania, wanafaa kuitwa wasaniii kama wanavyoitwa, hiv yu wapi yule kijana MARO? mpeni salamu zangu 2020 kuna uchaguzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Kampuni nzima inapochezeshwa mdundiko kwa single beat
IMG-20190204-WA0025.jpeg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom