RC Makonda: Ofisi iliyochanga pesa kwa niaba ya Taifa Stars na kuzitumia izilete mara moja.

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za utalii. Hiyo fedha naitaka, aidha ipelekwe BMT".

Ni ofisi gani hiyo?

 
Mbwa kaingia msikitini, natamani iwe ana maanisha ile ya Dodoma maana walijifanya kukaa kimyaa sasa mtoto pembe zimeota na kama anamaanisha wao basi kwa kweli ile ofisi itakuwa imefika kiwango cha chini kabisa katika dharau kama team inashuka daraja. nadhani hata yeye angeanza kuleta mchanganuo wa zile pesa kutoka siku ya mechi ya Uganda na ile mishango pesa imetumika wapi na kwa nani kila kitu kiwekwe hadharani halafu wengine itabidi wafanye hivyo pia pesa zote zimetumika vipi? wachezaji waoga hawawezi kusema ya moyoni inabidi mmoja awe shujaa ajilipue tu je wamefaidika na zile pesa maana Hotel na chakula kule ilikuwa CAF wanalipia. yale mamilioni yako wapi bora yule aliyeahidi nondo team ikifika q.final maana kama alikataa kutoa akawatolea nje kiakili tu maana hata mjinga anajuwa hakuna kitu hapo..
 
Hii ni vita ya haki ya mzaliwa wa Kwanza kati ya mwenye vyeti feki na ya mchunga ng'ombe wa kanda ya kati anayeona suluhu la matatizo ni kupiga wenzake fimbo za mgongoni hadi wazimie.
Sky Eclat andaa mkate wa dengu adui mwombee njaaa
 
"Nazitaka"! Haya mwenye nazo ampatie Bashite kabla hajamsema kwa baba 'amutumbuwe'.
Watu wamesema sana juu ya kiburi cha huyu dogo kiasi cha kuona yeye ni NAIBU hivyo anamuogopa mtu mmoja tuu lakini watu wakawa wanacheka tuu, sasa kawageukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…