AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
MIMI NAAMINI CCM WANAMLIA TIMING TU RAIS...NAAMINI HUYU DOGO NDIYE ATAKAYEMWANGUSHA RAIS KURA ZA MAONI CCM...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Avatar yako imenikumbusha anatomy
Uamuzi huo anautoa kama nani?RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za utalii. Hiyo fedha naitaka, aidha ipelekwe BMT".
Ni ofisi gani hiyo?
View attachment 1147057
Aisee hapo umeua jombaaHii ni vita ya haki ya mzaliwa wa Kwanza kati ya mwenye vyeti feki na ya mchunga ng'ombe wa kanda ya kati anayeona suluhu la matatizo ni kupiga wenzake fimbo za mgongoni hadi wazimie.
Sky Eclat andaa mkate wa dengu adui mwombee njaaa
Ohooo! hiyo ofisi wataisoma nambaOfisi iliyokiuka matakwa ya naibu rais mnalo
Yaani haya mamlaka huyu kijana anayatoa wapi? Inashangaza aiseee utadhani ni Rais.Jamaa anaongea kimamlaka hadi inatisha kiasi wala hana maswali kwamba watu wanaongea nini
Kama naibu raisi, pia kama wažiri mkuu kiongoziAnazitaka kama nani, kwa mamlaka yapi?
Hahahah hatari sanaHahahaaaaa mambo ya olecranon fossa, coccygeal, pubis symphysis and the like kwenye skeletal system au vipi mkuu ?
Hivi yeye alikuwa anazitaka kama nani?Ofisi iliyokiuka matakwa ya naibu rais mnalo