RC Makonda: Ofisi iliyochanga pesa kwa niaba ya Taifa Stars na kuzitumia izilete mara moja.

RC Makonda: Ofisi iliyochanga pesa kwa niaba ya Taifa Stars na kuzitumia izilete mara moja.

MIMI NAAMINI CCM WANAMLIA TIMING TU RAIS...NAAMINI HUYU DOGO NDIYE ATAKAYEMWANGUSHA RAIS KURA ZA MAONI CCM...
 
RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za utalii. Hiyo fedha naitaka, aidha ipelekwe BMT".

Ni ofisi gani hiyo?

View attachment 1147057
Uamuzi huo anautoa kama nani?
Huyu bootylicious akili yake iko huko.
 
Jamaa anaongea kimamlaka hadi inatisha kiasi wala hana maswali kwamba watu wanaongea nini
Yaani haya mamlaka huyu kijana anayatoa wapi? Inashangaza aiseee utadhani ni Rais.
 
Back
Top Bottom