Laface77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2008
- 2,117
- 2,845
Kama unapenda tigo sana nenda kwa Bashite (Zero Brain) anatoa tigo bila hiana! Ukiangalia tu makalio yake unajua huyu mtoto sio riziki!Je tigo unatoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unapenda tigo sana nenda kwa Bashite (Zero Brain) anatoa tigo bila hiana! Ukiangalia tu makalio yake unajua huyu mtoto sio riziki!Je tigo unatoa?
Hasira ya kushindwa hiiRC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za utalii. Hiyo fedha naitaka, aidha ipelekwe BMT".
Ni ofisi gani hiyo?
View attachment 1147057
Wewe mzururajiKama unapenda tigo sana nenda kwa Bashite (Zero Brain) anatoa tigo bila hiana! Ukiangalia tu makalio yake unajua huyu mtoto sio riziki!
Laface77 kama nimekusoma vileKama unapenda tigo sana nenda kwa Bashite (Zero Brain) anatoa tigo bila hiana! Ukiangalia tu makalio yake unajua huyu mtoto sio riziki!
Kwahiyo haya ni sehemu ya majukumu ya mwenyekiti wa kamati ya hamasa?RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za utalii. Hiyo fedha naitaka, aidha ipelekwe BMT".
Ni ofisi gani hiyo?
View attachment 1147057
Avatar yako imenikumbusha anatomyHiyo ofisi inapatikana jijini Dodoma ? Nauliza tu.
[emoji53][emoji53]Alichotumwa kingine,anarudi na story nyingine khaa,
Kuzitaka kibabe namna hiyo vip
Ni Tz. pekeee, umenikumbusha cheo alichokuwa nacho Mh. Mrema miaka ya nyuma.Ofisi iliyokiuka matakwa ya naibu rais mnalo
Kabla ya kunyooshea wengine kidole kwa yasiyomhusu, awajibike kwanza kwa kumdanganya mkuu kwamba akienda timu itashinda![emoji53][emoji53]Alichotumwa kingine,anarudi na story nyingine khaa,
Kuzitaka kibabe namna hiyo vip
Tena haraka iwezekanavyo mana kitakachowakuta, wataeleza kwa nini faru wanapelekwa mbuga ya Burigi (chato)Hii Kali Sasa warudishe kabla hazijaisha
Kama kakosa ushindi hata madeni hasidai daaah. Makonda'kta katika ubora wake.Anaitaka itoke wapi?!? Ye alitumwa akadai madeni au alitumwa ushindi?!?!?
Kusimamia matumizi sahihi ya fedha za umma kunajumuisha kuhakikisha serikali inapata fedha inazostahili kama kodi n.k.Safi sana makonda! Hawa ndio viongozi tunaowataka, wanaosimamia matumizi sahihi ya fedha za umma.
Ndio, bado tunakumbuka ya kipindi kile mchunga ng'ombe alivyomuita yule wa vyeti feki kwenye ka kamati kake, inawezekana dogo alihifadhi for right time for right revenge. Au kuna mengine mana mambo ni mengi mjini.Hii ni vita ya haki ya mzaliwa wa Kwanza kati ya mwenye vyeti feki na ya mchunga ng'ombe wa kanda ya kati anayeona suluhu la matatizo ni kupiga wenzake fimbo za mgongoni hadi wazimie.
Sky Eclat andaa mkate wa dengu adui mwombee njaaa
Kumbe ni double standard.Ndungai apeleke pesa haraka sana kwa Bos wake, la sivyo atamsemea tena kwa mfalume.
Hii ni sababu ya madai ya Ndungai kuhusu kukumbushia ile ahadi ya milioni kumi ambayo Naibu Rais aliwaahidi wachezaji kama wataweza kushiriki mashindano ya Afcon.
Hivyo wote wanapaswa kutimiza ahadi zao.