RC Makonda: Ofisi iliyochanga pesa kwa niaba ya Taifa Stars na kuzitumia izilete mara moja.

RC Makonda: Ofisi iliyochanga pesa kwa niaba ya Taifa Stars na kuzitumia izilete mara moja.

RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za utalii. Hiyo fedha naitaka, aidha ipelekwe BMT".

Ni ofisi gani hiyo?

View attachment 1147057
Hasira ya kushindwa hii
 
Hapo ndipo napompendea Makonda, japo alienda kwa ajili ya ushindi wa timu,lkn pia alikua na kazi mbadala
 
RC Paul Makonda: "Kuna jambo nimelibaini nilipokwenda Misri, ipo ofisi moja iliyochangisha fedha kwa ajili ya Taifa Stars lakini wakazitumia kwa matumizi yao na wengine kutumia kwa shughuli za utalii. Hiyo fedha naitaka, aidha ipelekwe BMT".

Ni ofisi gani hiyo?

View attachment 1147057
Kwahiyo haya ni sehemu ya majukumu ya mwenyekiti wa kamati ya hamasa?
 
[emoji53][emoji53]Alichotumwa kingine,anarudi na story nyingine khaa,
Kuzitaka kibabe namna hiyo vip

Yawezekana alichotumwa ndio hicho anachodai sasa, kwamba akaspy hiyo kitu lakini kwa mgongo wa kutoa hamasa...
Hivi kuna watu serious waliamini kuwa aliopoenda timu ingepata ushindi?
 
[emoji53][emoji53]Alichotumwa kingine,anarudi na story nyingine khaa,
Kuzitaka kibabe namna hiyo vip
Kabla ya kunyooshea wengine kidole kwa yasiyomhusu, awajibike kwanza kwa kumdanganya mkuu kwamba akienda timu itashinda!
 
Nami nitaufanya uwe mgumu moyo wa Farao, naye atafuata nyuma yao; nami nitajipatia utukufu kwa Farao, na kwa jeshi lake lote; na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA. Basi wakafanya hivyo .

Nyakati zao zikifika wasije kuomba misamaha na kudai misaada,wazitumie vyema.Watu wanabadilika hawasemi wapo tu kama wajinga kwa sasa.Ila Mungu wanayemtaja wao kila mara hajashindwa kuwapigania watu wake wanaotabika na hizi drama zao na maumivu wanayoleta kwa watu wake
 
Hii ni vita ya haki ya mzaliwa wa Kwanza kati ya mwenye vyeti feki na ya mchunga ng'ombe wa kanda ya kati anayeona suluhu la matatizo ni kupiga wenzake fimbo za mgongoni hadi wazimie.
Sky Eclat andaa mkate wa dengu adui mwombee njaaa
Ndio, bado tunakumbuka ya kipindi kile mchunga ng'ombe alivyomuita yule wa vyeti feki kwenye ka kamati kake, inawezekana dogo alihifadhi for right time for right revenge. Au kuna mengine mana mambo ni mengi mjini.
 
Ndungai apeleke pesa haraka sana kwa Bos wake, la sivyo atamsemea tena kwa mfalume.
Hii ni sababu ya madai ya Ndungai kuhusu kukumbushia ile ahadi ya milioni kumi ambayo Naibu Rais aliwaahidi wachezaji kama wataweza kushiriki mashindano ya Afcon.
Hivyo wote wanapaswa kutimiza ahadi zao.
Kumbe ni double standard.
 
Back
Top Bottom