Uchaguzi 2020 RC Makonda: Viongozi wa dini ombeeni uchaguzi ili tupate viongozi Watakatifu wa kumsaidia Rais Magufuli na watoa kafara wasifurukute

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano.

Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.

Makonda amesema kuna watu hutoa makafara ya damu ili washinde uchaguzi ikiwemo kusababisha ajali za barabarani, vifo vya watu kwenye mikutano na wengine huuwa watoto wao wachanga.

Chanzo: EATV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Siyo Rais Mtakatifu? Tangu lini watakatifu wakamsaidia mtu asiyemtakatifu?
 
Watoa kafala maarufu utawajua tu ? Soma kitabu my daughter's sacrifice made me the king.
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano.

Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.

Makonda amesema kuna watu hutoa makafara ya damu ili washinde uchaguzi ikiwemo kusababisha ajali za barabarani, vifo vya watu kwenye mikutano na wengine huuwa watoto wao wachanga.

Chanzo: EATV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kigwangala amesikia hii
 
Makonda ni muuaji na mtu was hovyo kabisa anayejificha chini ya uvuli wa dini.
Makonda akanushe tuhuma za Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, kwamba yeye amehusika na kuhujumu uhai na maisha ya watu
 
Uchaguzi ni process..sasa sijui waanze kuombea wapi na aishie kwenye process ipi..

Kuna mtu alishasema uchumi ukiyumba nao uombewe yaani kwa msemo wa sasa upingwe nyungu!!

Naunga mkono hoja uchaguzi upigwe Nyungu
 
Makonda ni muuaji na mtu was hovyo kabisa anayejificha chini ya uvuli wa dini.
Makonda akanushe tuhuma za Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, kwamba yeye amehusika na kuhujumu uhai na maisha ya watu
Jamaa hajijui tu, anaweza kujikuta kwemye wakati mgumu saana maishani kwake!!
 
Hahahaha hongera mwana CCM
 
Attachments

  • IMG-20200612-WA0054.jpg
    IMG-20200612-WA0054.jpg
    73.3 KB · Views: 2
100% ya viongozi wa kweli wa dini wanaomba makonda na magufuli wasirudi madarakani.
 
Viongozi wa dini wanajua vizuri wajibu na kazi zao,iweje muumini tu wa kawaida awakumbushe wajibu wao hali wao wanawajibika kwa alie juu yaani MUNGU na sio wanadamu!
Hii ni kuingilia majukumu yao
 
Back
Top Bottom