johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji3][emoji3]Kumbe watakatifu pia skuizi huchaguliwa na kisha kuteuliwa na kuwa wasaidizi wa Rais..[emoji87][emoji849]
Hahahaaaa..... Naona RC amekigusa kitengo[emoji44][emoji44][emoji848][emoji3][emoji3]
Mbona alikacha mkutano wake aliowaandalia bodabodaAnatafuta kusikika tu
Kigwangala amesikia hiiMkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano.
Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.
Makonda amesema kuna watu hutoa makafara ya damu ili washinde uchaguzi ikiwemo kusababisha ajali za barabarani, vifo vya watu kwenye mikutano na wengine huuwa watoto wao wachanga.
Chanzo: EATV habari
Maendeleo hayana vyama!
Makonda ni muuaji na mtu was hovyo kabisa anayejificha chini ya uvuli wa dini.Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano.
Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.
Makonda amesema kuna watu hutoa makafara ya damu ili washinde uchaguzi ikiwemo kusababisha ajali za barabarani, vifo vya watu kwenye mikutano na wengine huuwa watoto wao wachanga.
Chanzo: EATV habari
Maendeleo hayana vyama!
Jamaa hajijui tu, anaweza kujikuta kwemye wakati mgumu saana maishani kwake!!Makonda ni muuaji na mtu was hovyo kabisa anayejificha chini ya uvuli wa dini.
Makonda akanushe tuhuma za Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, kwamba yeye amehusika na kuhujumu uhai na maisha ya watu