Uchaguzi 2020 RC Makonda: Viongozi wa dini ombeeni uchaguzi ili tupate viongozi Watakatifu wa kumsaidia Rais Magufuli na watoa kafara wasifurukute

RC, mabingwa wa nyaraka wapo kimyaaaaa, hawaoni chochote kinachofaa kutolea NYARAKA. Lim zimejaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
seriously, viongozi wa dini wanaokaa na kumsikiliza Bashite...... sijui hawa ni viongozi wa dini za mungu wa wapi??
 
Naamini hao viongozi wa dini wanakumbuka Kama 'mtu hunena yake yaliyoujaza moyo wake'
 
ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi.
Kwa maneno mengine anawataka viongozi wa dini wamuombe Mungu awasaidie viongozi wa CCM wapite katika uchaguzi 2020.
 
Kesha mteua Rais!
 
Bashite ndio bingwa wa hayo yote du siasa ni hatari.
 
Mungu ni mwema muda wote,inshallah ataturudishia Magufuli mtumishi wake.
 
Kwakuwa wanachama wa CCM ni watanzania wenzetu, na kwa mwenendo wa siasa za nchi yetu zilipofikia, CCM kama kweli ina malengo madhubuti ya kuendeleza ilichokianza ndani ya miaka mitano hii inayoisha, basi wahakikishe wanaweka madiwani na wabunge wenye shule, mambo ya mipasho kwenye mabaraza ya madiwani na hadi kule bungeni haina tija.

Mwaka 2021 kata inaongozwa na diwani darasa la saba? Huko kwenye chama hebu fanyeni kweli. Tunahitaji vichwa kwelikweli.
Basi vileteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…