kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Na wabunge wakosahihi hawataki mwanajeshi aende kulinda mipaka hukoRC yuko sahihi.
kutakua na posho ndo maana wanatuma wawakilishi. ingekua hamna kabisa posho hata hao makatibu wasingeenda
Hicho kikao posho ni kiasi gani?
Hicho kikao posho ni kiasi gani?
kutakua na posho ndo maana wanatuma wawakilishi. ingekua hamna kabisa posho hata hao makatibu wasingeenda
posho 250000, kuna perdiem transport allowances kwa wale wanaotoka nje makao makuu ya mkoa (transport allowances ni lita za mafuta kutokana umbali) kuna wanaovu zaidi ya m 1 .Hicho kikao posho ni kiasi gani?