RC Mboni Mhita: Shinyanga na Kahama zimekusanya TZS 540bn kutoka kwenye madini

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
406
Reaction score
308
1754218922001.png

TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA?

Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 540.17. Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 hadi kufikia Aprili 2025, walikusanya Shilingi bilioni 131.51, ambayo ni sawa na asilimia 79.70 ya lengo la Shilingi bilioni 165. Vilevile, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia ofisi zake za kikodi za Shinyanga na Kahama, katika kipindi cha Machi 2021 hadi Machi 2025, ilifanikiwa kukusanya Shilingi bilioni 202.54 dhidi ya lengo la Shilingi bilioni 199, ikiwa ni utekelezaji wa asilimia 102 ya malengo yao​
 
View attachment 3429486

Makusaanyo kidogo but sio mbaya
 
Samia amehamia Kahama anakusanya kodi, kule alikokuwa anashinda daily Kizimkazi ameacha mzimu wake tu.
 
I can't be brainwashed plus I ain't no fool. Kazi za Samia, pesa za Samia, hospitali za Samia mbona hamsemi madeni ya Samia ni trillions kadhaa mnasema deni la taifa? Yaani pesa za walipa kodi zinageuka za Samia lakini madeni hayawi ya Samia yanageuka madeni ya nchi?
Nonsense.
yeye ndiye mlipaji mkuu hata kama hutaki kusikia
 
Don't be stupid, yeye ni treasurer pale hazina au governor BOT? Unaujua mgawanyo wa madaraka na boundaries zake? Mlipaji mkuu kwenye kulipa kitu gani?

Hivi hili deni la matrilioni ya shilingi ni deni la taifa au ni deni la Samia? Elaborate on this one ili twende next phase.
 
View attachment 3429486

TUWE WA KWELI, HIVI NI NANI ANGEWEZA HAYA?

Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia kuanzia Machi 2021 hadi Aprili 2025, Mikoa ya Shinyanga na Kahama ambayo ni Mikoa ya kimadini imeweza kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 540.17. Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 hadi kufikia Aprili 2025, walikusanya Shilingi bilioni 131.51, ambayo ni sawa na asilimia 79.70 ya lengo la Shilingi bilioni 165. Vilevile, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia ofisi zake za kikodi za Shinyanga na Kahama, katika kipindi cha Machi 2021 hadi Machi 2025, ilifanikiwa kukusanya Shilingi bilioni 202.54 dhidi ya lengo la Shilingi bilioni 199, ikiwa ni utekelezaji wa asilimia 102 ya malengo yao​
Halafu zikaenda wapi?
 
RC Mboni Mhita: Weka vielelezo muhimu hapa!
Usije kumdanganya Rais
 
Unamaanisha nini kusema " nani angeweza haya"? Hivi haujui haya ni matokeo ya reform zilizofanywa kwenye sekta ya madini na serikali ya awamu ya tano? Ni kuwa anavuna jasho la mtangulizi wake.
 
Zinanifaishaje mikoa hiyo ya kimadini hizo fedha??? Barbara za mitaa mikoa hiyo ni changamoto
 
Back
Top Bottom