Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jembe la CCM...kama vipi apewe cheo kikubwa...Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughuli za Maendeleo, huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama, huyu anamfanya ni muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.
Aliye mteua alisema rushwa haina nafasi kwenye utawala wake, aliyeteuliwa akagawa rushwa na akajisifu in public kuwa ataendelea kutoa zaidi na zaidi.Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughuli za Maendeleo, huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama, huyu anamfanya ni muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.
Kwa maoni ya wengi humu ni kuwa Mnyeti hawezi adhibiwa na mteuzi zaidi ya kupongezwa.Aliye mteua alisema rushwa haina nafasi kwenye utawala wake, aliyeteuliwa akagawa rushwa na akajisifu in public kuwa ataendelea kutoa zaidi na zaidi.
Baada ya mteuzi kusikia mteuliwa akininasibu kwa umahiri wa michezo ya rushwa, Mteuzi akampandisha cheo ghafla na TAKUKURU wakapiga saluti.
Unataraji huyo Nyeti atafanywa nini labda!?
Mbina mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikii?