Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Utasubiri sana. Aliekuwa anatakiwa kutolea maelekezo kauri hiyo ni ama mrajiri wa vyama vya siasa, mwanasheria mkuu, au waziri wa rheria na katiba. Ni kauli ya kichochezi, kwani hao wapinzani wapo kisheria, anawachochea ili waasi.
 
Ukifiatana na mbwa sana mwishowe hukufuata msikitini; baadhi ya wateule wa awamu ya tano wanakera sana kwa kauli matendo yao! Tusubiri tuone maana haya ndio maudhui yaliyobebwa na tamko la maaskofu wa TEC!
 
Kama unasubiri hilo basi chukua kiti ukae, kama kungekuwa na cheo cha kumpandisha sema kwa ile kauli angepandishwa cheo leo
 
Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughuli za Maendeleo, huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama, huyu anamfanya ni muongo.

Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.

Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.
Hivi nyie inawaumiza sana mbona Chadema waligomea kushirikiana na serikali ya ccm? Au mmesahu kuwa madiwani wenu wa Dar es salaam wakiongozwa na Yule Meya wa Ubungo ambaye alikuwa jambazi kugomea ushirikiano na serikali hapa Dar es salaam? Ujinga ni mzigo
 
Jama nyota itazidi kuwaka mpaka mtashangaa.
Hiyo kauli inakuuma wewe tu.

Wale wa upande ule wanasherekea kwa vigeregre na vifijo.
 
Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughuli za Maendeleo, huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama, huyu anamfanya ni muongo.

Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.

Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.
Wewe naww huna akili...kama alinunua madiwani hakutimuliwa..atatimuliwa kwa hilo?
 
Habari zinazo zunguka zunguka ni kuwa, kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughuli za Maendeleo, huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama, huyu anamfanya ni muongo.

Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.

Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu.

Rafiki yangu sahau hiyo hata angeua wapinzani wala asingeguswa .Awamu ya wateule wa mungu hii ngoja watambe ni haki yao.

Ila kuna siku inakuja watalia n.a. kusaga meno.Mwenzao ana Kinga ya kikatiba was je
 
Like father like son! Tabia nyingi mtoto hurithi kwa wazazi! Mnyeti hawezi kutumbuliwa na yule baba!
 
Nchi ya kikundi cha watu wachache waliojipa mamlaka ya kutesa wengine
 
Umesahau kuwa anayewacharaza wapinzani kwa kuwanunua,kuwatia ndani bila kosa na kuwafanyia aina mbalimbali za vituko ndiye anayepandishwa cheo?.
 
Hii ccm ni mbwa kabisa.....sio aliyoiacha baba wa taifa
 
chakaza, ya makonda umesahau.... chapa kazi.... umesahau. Hilo halipo hata mbingu zishuke... Magogoni??????????
Hizo ndizo point wapinzani wanatengenezwa kwa ajili ya 2020
 
Huyu RC anaoekana ana mdudu kichwani..!!Hizi chuki anazotengeneza miongooni mwa Watanzania kwa sifa za kijinga na kipumbavu zitamgharimu one day......!!!Asipothibitiwa kuna siku atasababisha mauaji ya KIMBARI......!!
It is very expensive kulundika watumia mguvu bila kutumianakili. Itaendelea kuigharimu ccm.
Ccm baada ya kutawala kwa zaidi ya miaka 50 sasa wanaona hawana cha kupoteza tena ni MIGUVU tu.
Zamani ccm ilikuwa inaandaa viongozi cku hizi inaandaa wahuni wahuni km hili jamaa jinga kabisa
 
Back
Top Bottom