Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaota hujui mkulu ni walewale tu naye anang`ata na kupulizaHabari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Kama hivyo ni Kweli, vipi kuhusu Mamlaka ya uteuzi?Rc mnyeti ni kiongozi kichaa.
ICC candidates na watoto wao lazima walipeHuku Bashite, kule Gambo huku Mnyeti!!
Kwa ushahidi ule wa TAKUKURU kama hajafanywa chochote sahau mkuu.kumbuka kipindi kile alikuwa tu dc na akapandishwa kuwa rc.Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Lawama itaenda kwenye nyeti zakeHivi maeneo ambayo yako chini ya upinzani nao wakiambiwa hamtaletewa Maendeleo jee wakigoma kulipa kodi lawama iende kwa nani?
Wote hawa watakuja kuwa kuni kwenye awamu ijayo.Aiseee uko sahihi 120%, Kiu kweli Nchi inaogozwa na MALIMBUKENI NA WASHAMBA!!!!!
Sasa mbona hueleweki dogoSiasa za kinyama ndio msingi mkuu wa awamu ya 5 , usishangae Mnyeti akiukwaa uwaziri .
Baada ya kutengua wa Kasm Majaliwa?safari hii atapewa uwaziri mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kumjua mtu jinsi alivyo. kwanza waangalie marafiki zake.Kama hivyo ni Kweli, vipi kuhusu Mamlaka ya uteuzi?