long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,064
- 1,012
KWA TAARIFA YAKO MIMI SIAMRIWI CHA KUFANYA....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyeti anafanana sana na RC mstaafu Mateo Qares yule aliyedai nyumba za wakazi wa Mbeya zikipigwa teke na kuku zinaanguka, sura zao zinafanana sana nadhani ni ndugu!
Hizo lugha za kawaida siku hizi ccm, kwenye kampeni zinaongelewa na almost viongozi wote hata leo Tulia kasema mtulia akipata shida anambeep tu waziri mkuu kisha anapiga.Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Mateo qares pamoja na upungufu wake hakuwahi kuwa na akili ya kinyama kama ya Mnyeti , huyu hatakiwi hata kuwa mtunza bustani wa mtu .Mnyeti anafanana sana na RC mstaafu Mateo Qares yule aliyedai nyumba za wakazi wa Mbeya zikipigwa teke na kuku zinaanguka, sura zao zinafanana sana nadhani ni ndugu!
Kila afanyacho kina baraka toka kwa aliemteua mwenye akili timamu haongei utumbo ule lazima woga uwepo.
Mateo qares pamoja na upungufu wake hakuwahi kuwa na akili ya kinyama kama ya Mnyeti , huyu hatakiwi hata kuwa mtunza bustani wa mtu .
Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Wapi nimesema simuungi mkono?!!........mbona Mbowe kapiga marufuku Ufipa kushirikiana na Lipumba!!Unataka kuniambia humuungi mkono anachokifanya MKuu wako wa Mkoa?
umeanza kumgeuka Mara hii?
Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Hawezi kufukuzwa kwani hayo ndiyo mambo ambayo herode anapenda kisikia. AHabari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Aiseee uko sahihi 120%, Kiu kweli Nchi inaogozwa na MALIMBUKENI NA WASHAMBA!!!!!Sio kwa kichwa kile cha magogoni!! Hilo sahau!!!! Nchi ya malimbukeni na washamba hii!!