Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Hizo lugha za kawaida siku hizi ccm, kwenye kampeni zinaongelewa na almost viongozi wote hata leo Tulia kasema mtulia akipata shida anambeep tu waziri mkuu kisha anapiga.
 
!
!
Mtoa post usije pigwa na butwaa jamaa akapigwa promosheni ya hatari mno kutokana na kauli hiyo. Ndipo tulipofikia hapo chuki live live ubabe ubabe tu. Ndio rangi zao halisi hizo
 
Mnyeti anafanana sana na RC mstaafu Mateo Qares yule aliyedai nyumba za wakazi wa Mbeya zikipigwa teke na kuku zinaanguka, sura zao zinafanana sana nadhani ni ndugu!
Mateo qares pamoja na upungufu wake hakuwahi kuwa na akili ya kinyama kama ya Mnyeti , huyu hatakiwi hata kuwa mtunza bustani wa mtu .
 
Kila afanyacho kina baraka toka kwa aliemteua mwenye akili timamu haongei utumbo ule lazima woga uwepo.

Kabisa,

Kama Boss mwenyewe aliwahi kusema nikuteue halafu umtangaze mpinzani kuwa mshindi?

Tatizo kubwa lipo pale white house!
 
Tulipokuwa na rais muungwana Kikwete J. usingetarajia mtu aliyenaswa akitumia rushwa kuhamisha madiwani vyama kupanda cheo. Huyo ashaona sifa kuligawa taifa kwa misingi ya vyama na anadhani ubaguzi ni mpaka mzungu amfanyie mwafrika. Ni ajabu na aibu kwenye nchi yenye misingi ya demokrasia zaidi ya miaka ishirini kukuta kiongozi anawagawa watu kiasi hiki. Leo wajinga watamwona mtu hodari na asieogopa kutamka lkn itafika mahali wataigana wengi na wananchi hawato kubali.
Najiuliza mtu huyu ndiyo alichaguliwa kwa umakini? kweli? Na serikali ikikaa kimya manake imehalalisha ubaguzi nchini nahivyo raia wa chama tawala wasisikilizane na upinzani wala kusaidiana na kinyume chake pia. Kifupi vijiongozi wa namna hii ni hatari sana kwa ustawi wa taifa lolote. Wanadhani nchi zinazoruhusu demokrasia hazina akili ama hazina dola na uwezo wa kukandamiza raia!! Yote haya yatafika mwisho...you cant fool all people all the time.
 
Yote yanayofanyika kwa wateule wa rais dhidi ya wapinzani nchini yako na baraka za Mh baba ubaya wa Magogoni.

Mnyeti alipandishwa cheo sababu ya kununua wapinzani.

Grace Mugabe wa ikulu ya Magogoni anapendwa sana sababu ya chuki yake dhidi ya wapinzani.

Baba bashite alishawahi kutamka wazi wazi kabisa kuwa anashangaa kuendelea kuishi wale wakosoaji wake kisiasa.

Ukitaka kumjua baba bashite alivyo na roho mbaya dhidi ya upinzani angalia kwenye hotuba zake wakati wa ziara zake mikoani, huyu baba ana roho mbaya sana zidi ya wakosoaji wake.
 
Litakuwa jambo la ajabu sana kufanywa na huyu DU Mkuu.

Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
 
Hahaha wawaishe vipimo walivyotumia kumpima Nabii Titto huko Manyara, ugonjwa unazidi kusambaa.
 
Hivi maeneo ambayo yako chini ya upinzani nao wakiambiwa hamtaletewa Maendeleo jee wakigoma kulipa kodi lawama iende kwa nani?
 
Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu

[emoji115]Ofisi kuu ni kigeugeu!....Usitarajie tamko lolote!!......believe me!
 
Habari zinazozunguka zunguka ni kuwa kauli aliyotoa RC wa Manyara kuwa hawezi kushirikiana na madiwani wa vyama vingine vya siasa na kuwa anampongeza DC wa Mbulu kwa kukataa kushirikiana na madiwani hao katika shughulo za Maendeleo huenda ikampotezea kazi kwani kaenda kinyume na aliyemteua kwa vile yeye anasema Maendeleo hayana vyama huyu ana mfanya in muongo.
Kitendo cha Takukuru kumbeba kwenye ushahidi wa rushwa kimempa kiburi Mnyeti na hapa kaingia choo cha kike bila kujua kuwa kauli hiyo itamgharimu.
Within no time tutasikia tamko toka ofisi kuu
Hawezi kufukuzwa kwani hayo ndiyo mambo ambayo herode anapenda kisikia. A
 
Jamaa alirekodiwa anatoa rushwa kununua madewani na hata mahakamani hakufikishwa sembuse hii hapo hatapanda cheo zaidi
 
Back
Top Bottom