Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Jembe la CCM...kama vipi apewe cheo kikubwa...
 
Huyu mnyeti sio kiongozi ni kibaraka mtawala anamfurahisha yuleeee
 
HUYU ANAMHARIBIA SANA MH RAISI MAGUFULI, SIJUI KAMA WANAMWABIA LAKINI, HUYU HAFAI KABISA, WHERE WE ARE GOING THIS TIME?
 
Miafrika vichwa maji kabisa....hivi jamaa anaonge yale maneno,bila hata aibu na usikute kuna watu wanampigia makofi kabisa....Na huyu ni mtu mzima, baba wa familia huyu anaongea publically hivi..sijui huko sirin anaongea mambo fani??
 
Hakuna kitu kama hicho.Tambuwa jambo moja kuanzia sasa,ni kwamba kila jambo ambalo wewe unaliona ni baya ujuwe upande wa pili ni zuri!
 
limbukeni na mshamba tu huyo, zito alisema tunaongozwa na washamba
 
Aliye mteua alisema rushwa haina nafasi kwenye utawala wake, aliyeteuliwa akagawa rushwa na akajisifu in public kuwa ataendelea kutoa zaidi na zaidi.
Baada ya mteuzi kusikia mteuliwa akininasibu kwa umahiri wa michezo ya rushwa, Mteuzi akampandisha cheo ghafla na TAKUKURU wakapiga saluti.
Unataraji huyo Nyeti atafanywa nini labda!?
Mbina mna macho lakini hamuoni na mna masikio lakini hamsikii?
 
Kwa maoni ya wengi humu ni kuwa Mnyeti hawezi adhibiwa na mteuzi zaidi ya kupongezwa.
Kwa hiyo bwana mkubwa ni muongo pale asemapo Maendeleo hayana chama.
Haya mambo huko Zamani hayakuwapo jee ni kwamba huyu was sasa anaipenda sana ccm kuliko watangulizi wake? Hivi sii walisema hajawahi kuwa hata mjumbe wa Nyumba kumi wa chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…