RC Mnyeti: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato ni mnafiki, mhuni na muongo!

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Kwenye mkutano wa hadhara na wanachi Chato ambao umemalizika punde stendi ya zamani hapa Chato.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Chato alikuwa anamg'onezakuu wa wilaya ya Chato juu ya kero za wananchi.

Ghafla Mnyeti akasikia anaguna kisumuma khiiii. Mkuu wa wilaya unanog'onezwa na huyu mkurugenzi. Kuwa makini ni mhuni, mnafiki na muongo. Umati ukaangua kicheko na kushangilia.

My take as a teacher: Amedhalilishwa sana na kama mtu jasiri alipaswa kujiuzulu leo hii usiku.
 
Nchi ishapotea. Hakuna mwenye NAFUU acha wachambane tu
 
Mnyeti anaongea sana
 

Kule Mererani alipona chupuchupu huyo, kwa sababu ya ujinga wake kama huo, awe makini watu sasa hawataki ujinga!!
 
ok.🐒
 
Kujiuzulu bila maandalizi, ataua watoto kwa njaa!
 
Ajiuzulu halafu familia yake utaihudumia wewe? Pumbavu!!
 
Ajiuzulu afe njaa! Hayo ninya Ulaya! Asipoangalia watampoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…