RC Mnyeti: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato ni mnafiki, mhuni na muongo!

Huwa una akili kisoda. Yaani kukemea uzembe na ufisadi tayari unamuwaza Magufuli. We pimbi huwa hujitambui.
Hapo amekemea ufisadi na uzembe, ama amesema huyo ded ni muongozo na mnafiki? Ufisadi unakemewa kwa makasiriko ama kupeleka mahakamani mgu na sheria kuchukua mkondo wake?
 
Habari kuwa anamuiga Magufuli inatoka wapi? Acha ushamba wa kisiasa.
 
Kwenye mkutano wa hadhara na wanachi Chato ambao umemalizika punde stendi ya zamani hapa Chato.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Chato alikuwa anamg'onezakuu wa wilaya ya Chato juu ya kero za wananchi.

Ghafla Mnyeti akasikia anaguna kisumuma khiiii. Mkuu wa wilaya unanog'onezwa na huyu mkurugenzi. Kuwa makini ni mhuni, mnafiki na muongo. Umati ukaangua kicheko na kushangilia.

My take as a teacher: Amedhalilishwa sana na kama mtu jasiri alipaswa kujiuzulu leo hii
 
Kwenye mkutano wa hadhara na wanachi Chato ambao umemalizika punde stendi ya zamani hapa Chato.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Chato alikuwa anamg'onezakuu wa wilaya ya Chato juu ya kero za wananchi.

Ghafla Mnyeti akasikia anaguna kisumuma khiiii. Mkuu wa wilaya unanog'onezwa na huyu mkurugenzi. Kuwa makini ni mhuni, mnafiki na muongo. Umati ukaangua kicheko na kushangilia.

My take as a teacher: Amedhalilishwa sana na kama mtu jasiri alipaswa kujiuzulu leo hii usiku.
Mods wa Jamii forum Moderator acheni ujuaji na ushamba kubadili vichwa vya habari. Kama vipi anzisheni nyuzi zenu.
 
Back
Top Bottom